CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

Nizar Khalfan according to Fifa.com au Mrisho Ngassa according to Aboodmsuni blog sasa sijui tuelewe kipi?
 
vijana inaonekana wamesharidhika na hiyo draw kama kocha wao alivyotaka, tuombee tu hao chad wasiotee goli lingine maana kwa stars yetu ndio itakuwa ngoma imelala.
 
tanzania 2 na chad 1 mfungaji nurdin bakari na mfungaji wa goli la kwanza ni ngasa
 
[SIZE=-1]
flash.gif
84'
[/SIZE]
Chad [1 - 1] Tanzania
 
Back
Top Bottom