Cha WIMA

Cha WIMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,101
Reaction score
828,960
Na kimvua hiki na baridi hii
jikoni , kwenye corridor au store ya ofisini wengine ni fasta kabla hawajatoka nje na wengine kwenye meza ya mapokezi au popote panapofaa
Ni kikombe cha kahawa na baridi hii huna haja ya kukaa chini na kuanza kupiga soga unakinywa wima tena fasta mwili unarelax mnoooo....!!!
 
Tena kikombe kiwe chembamba na cha platic, chepesiiiiii.
 
Cha fasta
 

Attachments

  • 1396031714823.jpg
    1396031714823.jpg
    25.5 KB · Views: 226

Similar Discussions

Back
Top Bottom