Cha ukweli

Cha ukweli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1415135187618.jpg
 
Kwa mbali sana ni cha ukweli kwema lakini mkuu atujaonana toka jumapili....
 
Kwa mbali sana ni cha ukweli kwema lakini mkuu atujaonana toka jumapili....

Yeah ni kweli kaka kwema naendelea vema kabisa ni usingizi tu umekata najaribu kusogeza Massa kwa kutupiatupia, vipi were? Natumai Mungu ni mwema na anazidi kukupigania
 
Yeah ni kweli kaka kwema naendelea vema kabisa ni usingizi tu umekata najaribu kusogeza Massa kwa kutupiatupia, vipi were? Natumai Mungu ni mwema na anazidi kukupigania

Nashukuru Mungu sana kanipigania na nimefika salama salimini jijini Dar tayari kuitendea likizo ya kufunga mwaka vizuri
 
Karibu sana kaka wkend tutawasiliana

Bila shaka namalizia kuangalia mpira hapa star city hotel maeneo ya Afrika sana nikajipumzishe naona leo Arsenal wako vizuri ha!ha!
 
Bila shaka namalizia kuangalia mpira hapa star city hotel maeneo ya Afrika sana nikajipumzishe naona leo Arsenal wako vizuri ha!ha!

Aah poapoa kaka mi mpira ni kama wifi kwangu
 
Ha!ha! ngoja hili ninalotaka kukuuliza niliache kwanza mpaka kesho
NAPITA kesho ndio hii labda umaanishe asubuhi manake tayari leo ni tar 5, ila nshakijua kipozee kwaleo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom