donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
- Thread starter
- #21
Watu mnajifanya walafi sana mkuu
Hehe. Kamati imekataa kutia sahihi. 😀Watu mnajifanya walafi sana mkuu
Drogba anakula kuku 5 mlo 1 why????Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Kunani mkuu, vipi leo hujawahi? #17! Acha kulala darasani bana.
Mwuulize anaingiza percentage ngapi ya protein kwa hao kuku 5Drogba anakula kuku 5 mlo 1 why????
Hahah mkuu hado uko QT?[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
wali si umepakuliwa muda huo?Hahaaa eti wali uko peku vijiko vimefungwa visichafuke
wee siyo wa Dar wewe.Mie sishibi kabisa hapo
Huo ni wali? 😀 Mi nilidhani ni zile pipi za PATCO!Nona huo wali ni kwa ajili ya wanaume wa Dar wanaoataka ku keep figure. Utampaje mwanamme mchapakazi chakula cha mtoto?