Cha mzaramo kwa paja....!!!


elineema William

elineema William

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
579
Likes
285
Points
80
elineema William

elineema William

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
579 285 80
Mie sishibi kabisa hapo
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
6,670
Likes
5,256
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
6,670 5,256 280
Hilo paja mbona kama la njiwa. Hamna sima? Hii ni njaa tupu tu.
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
14,252
Likes
4,694
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
14,252 4,694 280
kwa msosi huu utakuwa kidume cha mbegu kweli ndani ya nyumba????
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,261
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,261 280
Huo wali wa kuonja?
Nishawahi kwenda hoteli moja inajifanya ya kitalii mtaa wa Lumumba hapa na mchizi wangu wa Vichwa Ngumu nondo nyingi, tukapewa wali kama huo.

Alivyouangalia tu nikajua hapa itabidi tutafute raundi ya pili sehemu.
 
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Messages
2,219
Likes
836
Points
280
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2015
2,219 836 280
mbona limeungua mkuu au macho yangu
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,473
Likes
5,459
Points
280
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,473 5,459 280
Hilo paja mbona kama la njiwa. Hamna sima? Hii ni njaa tupu tu.
Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
Mie sishibi kabisa hapo
 
Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Messages
4,997
Likes
835
Points
280
Age
35
Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2012
4,997 835 280
Dah!!! Ndio unajenga eti!!!
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
6,670
Likes
5,256
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
6,670 5,256 280
Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
Sasa sisi watu wa kubomoa kwa mpigo tutapata wapi wakati wa kula kula tuportion tudogo tudogo hivo kila baada ya dakika kumi na tano kama chiriku?
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
6,670
Likes
5,256
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
6,670 5,256 280
mkuu umeangalia kwenye simu? hebu zoom utashiba tu
Yaani hadi nizoom ndo zifike kilo? Hicho kwetu si chakula cha kumfanya mwanaume aketi chini, bila sima hicho kitakuwa ni chakula cha kunasa panya tu.
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
12,399
Likes
35,458
Points
280
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
12,399 35,458 280
Masihara haya.. mie nashibaje sasa kwa mfano
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
12,399
Likes
35,458
Points
280
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
12,399 35,458 280
Hapo ni tonge 3 tu tena kwa aibu za ukweni.. halaf hicho kikiuu sijui ni cha kizungu..

Wallah mie sishibi
 

Forum statistics

Threads 1,236,955
Members 475,327
Posts 29,274,626