englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
nimewaza mbali inakuwaje kule?
Ulimi utafanya kazi ya ziada! Mungu hawezi maliza vyote..nae anahuruma kama wewe.
sawa mkuu jibu lako tu,,, kwa hiyo na wewe ukichoka huko unatumia ulimi?
Maybe ikitokea, you never know what desperation can lead a Man to do.
nimewaza mbali inakuwaje kule?
Usihofu miss chagga. 'Kule' hakujalemaa ni kuzima kabisa.Na kama uonavyo huyo bibie anaelekea kumpenda sana huyo mumewe na atatoa ushirikiano mkubwa kwenye ile shughuli. So rest assured miss chagga.nimewaza mbali inakuwaje kule?
Halo englibertm, hebu tufafanulie kuhusu hawa wapenzi. Ni wa nchi gani? Huyo dada kakaa kama mtutsi vile!
Yah, nilikuwa nisema hayo hayo, ukiwa na pesa haijalishi ukoje, utapata mwanamke utakae kwa wakati unao taka.pesa sabuni ya roho.....
_no money no honey...
sawa mkuuu ila ya Mungu mengiUsihofu miss chagga. 'Kule' hakujalemaa ni kuzima kabisa.Na kama uonavyo huyo bibie anaelekea kumpenda sana huyo mumewe na atatoa ushirikiano mkubwa kwenye ile shughuli. So rest assured miss chagga.