Jina lako linasadifuUdenda na mijasho yote iliyotiririka usiku kucha halafu asubuhi aanze kunilalia? Mswaki hajapiga, harufu mbaya inatoka kinywani halafu aanze kunipumulia mimi? Sitaki.
Akitaka akaoge, apige mswaki ndipo aombe show. Vinginevyo No! Sitaki karaha mimi. Wanaosema mapenzi ni uchafu acha wao wavumilie, mimi kwangu mapenzi ni usafi.
Ngoja nipite hivi[emoji124] [emoji124] ila kuna harufu ya maji ya moto kusika hapokweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Sio wanukaji tu jamani, kwani mke na mume si hulaliana au??!!!Wanukaji hulaliana sio!
Ndiyo dhima na malengo ya jukwaa hili. Ni imani yangu kuwa kila aliye katika jukwaa hili anawaza hilo.
Mkuu kwann lkn? Mbona unanichukia bila sababu? Naomba maoni yako mkuu.Kama ni sexless sicomment kitu
Nimejifunza kitu jamani msimlaumu. Tatizo ni watu au wapenzi aliowaokota na kua nao. Kwa mtazamo wangu na watu wengi kiukweli jasho la mtu unaempenda hua linanukia vizuri sana sasa huyu anaesema anakerwa na jasho la mpenz wake ndo wale anaokotwa tu na mwanaume yeyote ilimradi kapewa pesa. Aise pole kwakeNi kitamu ndiyo, lkn nataka akaoge na kupiga mswaki kwanza.
PoleHapo unaongopa. Kila mtu anapolala, mwili hutoa mijasho na miudende mdomoni.
Aah wapi!Ngoja nipite hivi[emoji124] [emoji124] ila kuna harufu ya maji ya moto kusika hapo
Na wachepuke tu lkn upuuzi wa kupumuliana hewa chafu na kupakazana mijasho siukubali hata kidogo.Kumbe ndo maana wanaume wanachepukaga wanalala huko huko kwa vimada
kweli sijagegedwa miaka mingi.umenikumbusha mbali sana
Mkuu nilitaka muupate uhalisiahiyo thread ulivoandika utazan wana jf tunalala na ww
Hilo linajiuza na kwa bahati mbaya halijapew chochote.Atakaye lioa hili lianaake atapata shida sana.
Huna cochote.Wewe!! Mm si wa class hiyo.