CFA exams

CFA exams

keynessian

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
590
Reaction score
423
Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!
 
Dah!mwenyewe nimepania mwakani nigonge hzo nyanga..ngoja wanaojua waje
 
Habari za apa wanajamvi, naomba kujuzwa mitihani ya cfa,, chartered financial analyst hapa Tz inafanyika wapi? Na utaratibu ni upi kwa mtu mwenye degree ya economics au finance,, Thanks in advance!

Mbona nilisikia mitihani inafanyika Nairobi.ila sina uhakika.
 
Mbona nilisikia mitihani inafanyika Nairobi.ila sina uhakika.

Mkuu Kama una acess na mtu yoyote au chanzo chochote cha karibu ulizia unijuze,,nipate taarifa kamili, ni muhimu sana
 
Mkuu Kama una acess na mtu yoyote au chanzo chochote cha karibu ulizia unijuze,,nipate taarifa kamili, ni muhimu sana

Sina acess yeyote nilitaka kusoma nikimaliza msc finance ila sijamaliza.nasikiaga tu kwa watu
 
Habari wana jamvi.,
Kuhusu Paper za CFA bdo hakuna centre wala (KBO) knowledge processing centres in East Africa. Zipo centre mbili tu Africa So far, Ghana na South Africa. CFA examz zimegawanyika katika level tatu.
Mtiani wa level 1 hufanyika mara mbili kila mwaka June na Dec na levels 2 na 3 hufanyika June pekee.
i hope this was a useful infor
 
Back
Top Bottom