Boss taratibu banaa nina mchongo na huyu jamaa
<br />Si ndio vizuri utoe details?? Hebu achia bana....lol
ni mkenya mwenye asili ya somalia,kabla ya hapo alikuwa rm pale citi bank...
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?Kenya....
Harvard university but i could be wrongnipo curious kidogo
huyu ceo wa stanbinc tanzania,,,....
je ni mtanzania?
kasomea wapi?
cv yake ikoje???
amefanya kazi wapi na wapi?
Tujuze basi, kiwango cha elimu yake na kasomea wapi?bashiri ni msomi wa kawaida.but chance utokea kwa wachache so wat?
can u echo it? hapa, na kama unaona itachafua hali ya hewa ni pm ili na mimi nimfanyie assessment au niitafakari hiyo kauli yakeMwaka jana au juzi wakati bank yake inaanzisha bidhaa ya Islamic Finance alitoa kauli moja chafu sana kuhusu idadi ya Waislam hapa Tz. Tuliokuwepo pale tukajua yuko addicted na vita vya huko kwao Somalia hivyo tukamchukulia punguani flan tu.
Wabongo tuna tabia ya kubaniana hata kama unajua kuna info inaweza kumsaidia mwenzako tunakuwa wagumu, hata tukiwa katika nafasi za juu kuwasaidia watanzania wenzetu huwa ni ishu watu wanaona kama vile mwenzake atapata kuliko yeyeAD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo
In most cases kitu kibubwa nime observe ni kua (naomba mtanisamehe saaana kwa hili wajameni) Wakenya most of them wana nidhamu saana kazini kuliko Watanzania... inawezekana saana tokana na utamaduni wao wa maisha kuendesha relying completely tokana na kazi ya kuajiriwa... Wako sharp, wako very fluent katika lugha ya kuendeshea mahala pa kazi (vitu kama Barua, Mikataba, Memos, na the like - wako focused) hicho kinawafanya waonekane kama wanafaa saana kazini kuliko Watanzania... On topo of that wana roho mbaya, hamna kuoneana huruma au mambo ya kufanyia favour ovyo ovyo... Mkenya sio a reliable person kama rafiki (thou kuna exceptions....)
And of course unaelewa nature yetu Watanzania Zela... Most anafanya kazi weekend shamba... part time miradi na mambo kibao... Mie naamini saana hiio inachangia hata why Watanzania wengi hatuna nidhamu kazini... The way Watanzania weengi tuwapo kazini tunavo handle kazi zetu.. Dah! nisije vuka mpaka...