CEO wa Stanbic Tanzania....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
nipo curious kidogo
huyu ceo wa stanbinc tanzania,,,....

je ni mtanzania?
kasomea wapi?
cv yake ikoje???
amefanya kazi wapi na wapi?
 
Simfahamu.. Ila tu nafaham Stanbinc positions kubwa nyingi zimetawaliwa na ambao sio Wa TZ...
 
mi nawapenda tu knye mikopo wapo fasta sana bila hata kujuana, hayo ya anatoka wap sijui wala sijawahi muona
 
Si anaitwa Bashir or something....si kama nilisoma huwa ni famous pale rose garden or something...
kama ni Bashiri nakumbuka a good leader. hebu ngoja nisubiri manake mambo ya The Boss saa ingine....
 
ni mkenya mwenye asili ya somalia,kabla ya hapo alikuwa rm pale citi bank...

Mwaka jana au juzi wakati bank yake inaanzisha bidhaa ya Islamic Finance alitoa kauli moja chafu sana kuhusu idadi ya Waislam hapa Tz. Tuliokuwepo pale tukajua yuko addicted na vita vya huko kwao Somalia hivyo tukamchukulia punguani flan tu.
 
Kenya....
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo
 
can u echo it? hapa, na kama unaona itachafua hali ya hewa ni pm ili na mimi nimfanyie assessment au niitafakari hiyo kauli yake
 
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo
Wabongo tuna tabia ya kubaniana hata kama unajua kuna info inaweza kumsaidia mwenzako tunakuwa wagumu, hata tukiwa katika nafasi za juu kuwasaidia watanzania wenzetu huwa ni ishu watu wanaona kama vile mwenzake atapata kuliko yeye
 
AD ni kwanini senior positions (managers, directors, VP's, CEO's etc) kwenye hizi kampuni nyingi za kigeni zinashikwa na wageni na sio wabongo? Ina maana sisi wabongo ni vilaza sana na hatuna effective managerial skills and talents ama?
Nasikia vibaya sana wenzetu wanapiga msondo sisi wabongo tunaendelea kupiga chapuo

In most cases kitu kibubwa nime observe ni kua (naomba mtanisamehe saaana kwa hili wajameni) Wakenya most of them wana nidhamu saana kazini kuliko Watanzania... inawezekana saana tokana na utamaduni wao wa maisha kuendesha relying completely tokana na kazi ya kuajiriwa... Wako sharp, wako very fluent katika lugha ya kuendeshea mahala pa kazi (vitu kama Barua, Mikataba, Memos, na the like - wako focused) hicho kinawafanya waonekane kama wanafaa saana kazini kuliko Watanzania... On topo of that wana roho mbaya, hamna kuoneana huruma au mambo ya kufanyia favour ovyo ovyo... Mkenya sio a reliable person kama rafiki (thou kuna exceptions....)

And of course unaelewa nature yetu Watanzania Zela... Most anafanya kazi weekend shamba... part time miradi na mambo kibao... Mie naamini saana hiio inachangia hata why Watanzania wengi hatuna nidhamu kazini... The way Watanzania weengi tuwapo kazini tunavo handle kazi zetu.. Dah! nisije vuka mpaka...
 
huitaki kuomba radhi hilo linafahamika
wakenya wako more aggressive kwenye kazi na most important
wanam treat boss au mteja kama inavyopaswa

hii inatokana na kuwa private sector na ushindani kwao vilianza siku nyingi...

na umasikini kwao uko juu sana,mtu akifukuzwa kazi ni soo

sisi mtu akifukuzwa kazi anaweza kwenda kulima
kenya utalima wapi???????
 
In most cases kitu kibubwa nime observe ni kua (naomba mtanisamehe saaana kwa hili wajameni) Wakenya most of them wana nidhamu saana kazini kuliko Watanzania... inawezekana saana tokana na utamaduni wao wa maisha kuendesha relying completely tokana na kazi ya kuajiriwa... Wako sharp, wako very fluent katika lugha ya kuendeshea mahala pa kazi (vitu kama Barua, Mikataba, Memos, na the like - wako focused) hicho kinawafanya waonekane kama wanafaa saana kazini kuliko Watanzania... On topo of that wana roho mbaya, hamna kuoneana huruma au mambo ya kufanyia favour ovyo ovyo... Mkenya sio a reliable person kama rafiki (thou kuna exceptions....)

And of course unaelewa nature yetu Watanzania Zela... Most anafanya kazi weekend shamba... part time miradi na mambo kibao... Mie naamini saana hiio inachangia hata why Watanzania wengi hatuna nidhamu kazini... The way Watanzania weengi tuwapo kazini tunavo handle kazi zetu.. Dah! nisije vuka mpaka...

Sawa AD nimekupata.
Lakini najiuliza kitu kimaoja. Kuna wabongo wengi sana ambao walisomea nje ya nchi na kuishi na kufanya kazi huko esp US/UK na eventually miaka ya karibuni wengi tu walirudi bongo huku wakiwa very fluent in English, highly skilled and talented in array of professions like finance, banking, IT, accounting, consulting etc Na hili ni kundi la wabongo ambao ni wachapa kazi na hawana uswahili ni kazi mtindo mmoja. Sasa hili kundi unataka kuniambia halija-break through the system kuwareplace hawa wageni?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom