CEO wa Simba, Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha

Senzo ni international figure na ndio maana simba walimfuata huwezi kumlinganisha na msichana ambaye ameshikwa mkono kuja simba uajiri wake umeleta sintomfamu
Aliye muajiri Senzo ndiye aliye muajiri Barbra.

Unachotakiwa kufahamu Barbra hakufanyiwa Interview kama Senzo.

Fahamu anachokifanya Laliga na Senzo kwa pamoja ndicho alichokifanya Barbra pale Simba , kabla Senzo hajaajiriwa.

Maana yangu ni hivi:-
Chukua vichwa vya Laliga, jumlisha na kichwa cha Senzo. Vyote kwa pamoja wanapita kwenye ramani aliyoicreate Barbra
 
Kweli mikia ni mikia tu unamfananisha Senzo na yule mwanamke aliyeletwa bila kufanyiwa interview na ukiwa mbumbumbu ni shida halafu mmeambiwa na mwenye timu mo kazi yenu ni kumsifia yule mtendaji ambaye cv yake kwenye michezo haijulikani na wala hatambuliki kimataifa kama Senzo wamatopeni ni shida
 
Kweli mikia ni mikia tu unamfananisha Senzo na yule mwanamke aliyeletwa bila kufanyiwa interview na ukiwa mbumbumbu ni shida halafu mmeambiwa na mwenye timu mo kazi yenu ni kumsifia yule mtendaji ambaye cv yake kwenye michezo haijulikani na wala hatambuliki kimataifa kama Senzo wamatopeni ni shida
Kweli Senzo ni wa matopeni,
Sisi simba Ndio tulimleta senzo ko sisi tunamjua kuliko nyinyi.
Ebu tuambieni Senzo ni sehemu gani ameogoza na mafanikio yake ni yapi?
 
Senzo angekuwa na CV kubwa asingefanya kazi anayofanya sasa Yanga, unatoka south kuja kuzindua kalenda ya timu ambayo mwaka wa nne haijachukua ubingwa hata wa ligi kuu, huna ofisi kazi unafanyia kwenye bajaji...
Huyu hata kwao hawezi rudi ataishia kuokota mipira uwanjan
 
Kweli Senzo ni wa matopeni,
Sisi simba Ndio tulimleta senzo ko sisi tunamjua kuliko nyinyi.
Ebu tuambieni Senzo ni sehemu gani ameogoza na mafanikio yake ni yapi?
Mafanikio ya Senzo kwa Uto yanaonekana tu hata kwa macho.
1)Uzinduzi wa kalenda-Yanga imepata kalenda yake.
2)Kuogelea-Timu imejifunza weredi wa kuogelea"Kidimbwi beach"

3)Kung fu,Yanga wamekua wepesi sana kucheza Kung fu uwanjani.
4)Madera-Uto kuwa na madera ya kuchezea vigodoro ni hatua kubwa sana.

5)Lawama-Yanga chini ya Senzo imekua hodari sana kwenye lawama hasa kwa marefa,tff na kwa timu ya Simba.
6)Wachezaji-Mshambuliaje hatari asie kabika kwa urahisi hata Cr 7 agusi wala asogei ni Fiston.ujio wa Fiston umekua tishio kubwa kwa mabeki wa timu za ligi ya VPL
 
Wanaojua kazi huwa hawafanyishwi interview, hasa kwenye sector binafsi
 
Hebu tuambie huyo mwanamke kaleta maendeleo gani kwenye soka mo akiwaambia nyuma geuka namleta mtoto wangu kuwa meneja mikia hawana sauti ngoja mhindi awanyoshe kuja kustuka nambo yameharika we juilize kwanini uwanja unaodaiwa kuwa wa sinba unaitwa mo arena halafu wamatopeni kwenye hawana hela si mlisikia ripoti ya juzi kweli ukuwa mtumwa unaona mambo yapo sawa Mo endelea kuwakomoa maana hiyo ni ya ukoo akina Azim Kassim sasa wewe tayari umemweka mtu wako pale namsikitia Mangungu asije akakimbia kama Nkwabi
 
Back
Top Bottom