Habari wadau, hivi cement za Dangote zimeshaingia kwenye soko la Dar es salaam na wapi zinapatikana?
ni kwa ajili ya soko la ulayaHabari wadau, hivi cement za Dangote zimeshaingia kwenye soko la Dar es salaam na wapi zinapatikana?
Tzs 8000
Tsh 5000 tu
Tafuta avarage ya hizo mbili........ ndiyo bei.Mbona mnazingua...niamini ipi
Mbona mnazingua...niamini ipi
Ukweli ni kwamba bei ya Dangote ni Tsh 8000 ila mafisadi wanataka iuzwe Tsh 12000.Ili mirija yao isizibe.habari ndo hyo
Du....dangote naye amekubali?!
Yupo nchini ki biashara inabidi tu akubali yaishe
Tafuta avarage ya hizo mbili........ ndiyo bei.
Hatari sana...tunachinjana wenyewe kwa maslahi ya wachache....
Hayo ndio madhara ya kua na serikali.inayo ongozwa na mafisadi...
Acha uongo shinda sio serikali ni sisi wenyewe na urafi wetu, nawisho ni rahisi kusingizia serikari, kwani wanaouza bei hio ni serikari?????