"Kumbuka pia huu ni mwaka wa uchaguzi"Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa , awali mfuko wa cement apa mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= tsh lkn kuanzia wiki hii cement kwa mfuko inauzwa kwa 18500/= hadi 19000/= ,
Hatujui sababu kuu ni nini haswa , sijui ndo kupanda kwa bei ya malighafi !! [emoji848][emoji848] binafsi sifahamu, yawezekana labda gharama za usafirishaji zimeongezeka !! [emoji848][emoji848] ,binafsi sifahamu pia japo nasikia bei ya mafuta imezidi kushuka , yawezekana uzalishaji wa cement umepungua labda nani ajuae ?? , Mwanza kunaniii [emoji848][emoji848].
Agents wa cements sijui ndo wanaopanga hizi bei, kusema ukweli si rafiki kwa mtumiaji wa Mwisho maana ndie aumiae;.
"Kuchangia gharama za uchaguzi mkuu"Hebu weka fact kidogo apo , uchaguzi una mahusiano gani na hili ongezeko la Bei ?
Mafuta yameshuka bei Maboso hujui ?
Ni kweli mafuta yameshuka bei, ila tatizo bei za usafirishaji kwa watu wa malori hazipo regulated na chombo chochote.Mafuta yameshuka bei Maboso hujui ?
Dar kwenye viwanda vya cement bei imepanda pia.Ndio mzidi kupiga maombi SGR ikamilike ili gharama za usafirishaji zipungue.
Jana kulikuwa na MATAGA, anasema eti uboreshaji wa reli umesaidia kupungiza gharama za usafirishaji sana, nikamwambia bei ya bidhaa inapanda kutokana na mambo mengi sana sio usafirishaji tu. Tatizo kubwa ni gharama za uzarishaji pamoja na kodi.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa , awali mfuko wa cement apa mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= tsh lkn kuanzia wiki hii cement kwa mfuko inauzwa kwa 18500/= hadi 19000/= ,
Hatujui sababu kuu ni nini haswa , sijui ndo kupanda kwa bei ya malighafi !! [emoji848][emoji848] binafsi sifahamu, yawezekana labda gharama za usafirishaji zimeongezeka !! [emoji848][emoji848] ,binafsi sifahamu pia japo nasikia bei ya mafuta imezidi kushuka , yawezekana uzalishaji wa cement umepungua labda nani ajuae ?? , Mwanza kunaniii [emoji848][emoji848].
Agents wa cements sijui ndo wanaopanga hizi bei, kusema ukweli si rafiki kwa mtumiaji wa Mwisho maana ndie aumiae;.
Sgr haitakuwa na uwezo wa kufata mzigo wa cement kutoka twiga au dangote itabidi kuwe na feeder trucks ,Ndio mzidi kupiga maombi SGR ikamilike ili gharama za usafirishaji zipungue.
Ni kweli, ila gharama haiwezi kuwa sawa na ya kusafirisha mzigo kwa truck hadi MwanzaSgr haitakuwa na uwezo wa kufata mzigo wa cement kutoka twiga au dangote itabidi kuwe na feeder trucks ,
Sgr pia haitwweza kudeliver kwa mlaji wa mwisho hapa nazungumzia Mimi na wewe, itabidi kuwe na delivery trucks
Tatizo la Bei ghali za cement kuwa juu linaanzia kwenye Kodi lukuki kuanzia malighafi Hadi uzalishaji
Lakina angalia tofauti ya bei ni kubwa sana. Dar ni 14,000 halafu Mwanza 19,000. Tofauti ya elfu tano ni kubwa sanaDar kwenye viwanda vya cement bei imepanda pia.
Kuna kitu cha ziada viwandani.
Dar kwenye viwanda vya cement bei imepanda pia.
Kuna kitu cha ziada viwandani.
Ile style ya kadri cement iendapo mbali na kiwanda huko haiapply..bro unajua kweli bei ya mafuta???,
Hapo cha maana Ni muwekezaji kuweka kiwanda kanda ya ziwa, maana huko hakuna kiwanda lazika bei iwe juu.
Mwanza unasubiri sgr,lindi cement imepanda na inatoka mtwara ambako umbali hauzidi km 100 napo wasubiri nini ?Ndio mzidi kupiga maombi SGR ikamilike ili gharama za usafirishaji zipungue.