CEM METICAIS

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,028
54,321
CEM METICAIS
20190802_101049.jpg
20190802_101038.jpg

Wakuu Kumbe Utengenezaji Wa Noti Unatofautiana Kwenye Material Yanayotumika Kutoka Nchi Moja Hadi Nyingine

Hii Noti Ya Mozambique Nimeishika Imetengenezwa Kwa Nailoni Ambayo Hata Ikiingia Kwenye Maji Hailoi. Iko Tofauti Na Za Hapa Kwetu
 
Huku kwetu nylon zimepigwa marufuku. Hata noti zetu zingekuwa kwa material hayo ni kesi ungekutwa nayo.
 
Nimeshaziosha sana na nguo na ziko hivyo hivyo.

Note zilizo na mfumowa plástico ni 20, 50 na 100 meticais.
1564823540958.jpeg
 
Pesa safi kabisa.. wale wenzangu wa KIVAVA BORDER nadhani tunaelewana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom