Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,181
- 75,697
CEM METICAIS
Wakuu Kumbe Utengenezaji Wa Noti Unatofautiana Kwenye Material Yanayotumika Kutoka Nchi Moja Hadi Nyingine
Hii Noti Ya Mozambique Nimeishika Imetengenezwa Kwa Nailoni Ambayo Hata Ikiingia Kwenye Maji Hailoi. Iko Tofauti Na Za Hapa Kwetu