Neyonzima
Member
- Jun 11, 2015
- 67
- 129
Wanajamvi,
Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina Abdulkarim.
Kwa macho yangu ni mzuri sana yaani kawapita wote na hana makuu (skendo za kila leo) hakika hapa Mungu aliumba kuanzia sura, jicho, shepu, mguu hadi sauti basi sifa zimrudie Muumba.
Nawasilisha kwa Heshima