Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

celebrity mzuri ni yule mwanamke mzuri usoni mpk kichwani..ki bongo bongo hapa Ma celebrity wengi uzuri usoni tu ila kichwani bongolala..

kwa upande wangu..Sijaona wakumkuta JACKLINE NTUYABALIWE kwa uzuri kwa kila kitu...

kwangu sura kwanza,akili then CHURA.
 
Alikua demu wake akiwa Simba na dogo akawa hasikii haambiwii na nidhamu ikashuka
mkuu kama umechanganya hivi sio huyu yupo binti mwingine nae ni kama shombe shombe ndio alikuwa na huyo kijana ila ukiwacheki hawa mabinti kama wanafanana.
 
Vifundo vilivyo jaa na miguu milonjo
Miguu milonjo ndo aina gani mkuu?
Na vifundo vya miguu kujaa unamaanisha kikiwa kinaonekana kimevimba au?

Kama ni mnene je nawezaje kujua kama ni mtera?

Usichoke na maswali yangu tafadhari nahitaji kujifunza na kufanya utafiti wa vitendo mwisho wa mwezi huu
 
Hata kama ni mnene, miguu yake iwe kama vile umegeuza chupa ya fanta juu chini. Hiyo ndo miguu supa. Ila kama kanenepa halafu miguu inateremka kama nguzo ya tanesco hata vifundo havionekani huyo ni mtera. Jaribu kulinganisha chupa ya soda inavyokaa ikisimama kichwa chini.
 
Shukrani, ngoja niingie kazini sasa
 
Sio nalipenda Mimi warembo ndio wanataka kuhongwa harrier tako la nyani hawataki tena vitz
Umenikumbusha, Ka Girlfriend Kangu Kalianzisha hizo Story za Tako La Nyani, Sijui Wenzie Kazini Wamemdanganya Nini! Nikapotezea Kama Sielewi Anaongelea Nini
 
Back
Top Bottom