Celebrities wenye followers wengi zaidi Tanzania

Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia Instagram katika Maisha yao ya kila siku.

Mtandao huu unatumika na wasanii katika shughuli zao mbalimbali. Aidha ni sehemu ambayo wasaniii wetu wanapata nafasi ya kuconnect na mashabiki moja kwa moja.

Hii hapa ni orodha ya celebrities 15 wa Tanzania wenye followers wengi zaidi.
  • Diamond Platnumz – 8.1 million followers
  • Millard Ayo – 6 million followers
  • Wema Sepetu – 5.9 million followers
  • Vanessa Mdee – 5.5 million followers
  • Jokate Mwegelo – 5.3 million followers
  • Jacqueline Wolper – 5.1 million followers
  • Hamisa Mobetto & Shilole – 4.9 million followers
  • Aunty Ezekiel – 4.8 million followers
  • Linah Sanga – 4.6 million followers
  • Ali Kiba & Idris Sultan – 4.5 million followers
  • Harmonize – 4.3 million followers
  • Jux – 4.2 million followers
  • Zamaradi Mketema & Irene Uwoya – 4.1 million followers
  • Rayvanny – 4 million followers
  • Ommy Dimpoz – 3.9 million followers
Daaaaaaah ko diamond platinum the king and one and only anamzidi kiba100 kila kitu daaaaaaah, kweli kiba 100 kaisha akalee tu wajukuu na miaka yake 45+
 
King Kiba 4 point something followers but He followed no one kuna MANYAU YANAUMIA HAPO BALAA....BONGO HAMNA MWENYE FOLLOWERS WA KIASI HICHO AMBAYE HAJAMFOLLOW MTU.
Daaaaaaah unamshobokea huyo shoga wako,ko point yako ni ipi hata kwa diamond aaunfollow wote atabakia na haohao,so hoja ni mwenye followers wengi na sio blaaahablaaah ebooooooh peleka uswokwe wako Gombe na Mahale
 
Hapo nimem-follow Millard ayo,na nimejiunga insta march 2013,inabidi niongeze mmoja kati ya orodha yako hapo juu,
 
Kiba ana followers zaidi ya hao 4 million sema hapendi show off tu kawaambia instagram wawafiche wengine tusiwaone.
 
Back
Top Bottom