Celebrities wenye followers wengi zaidi Tanzania

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia Instagram katika Maisha yao ya kila siku.

Mtandao huu unatumika na wasanii katika shughuli zao mbalimbali. Aidha ni sehemu ambayo wasaniii wetu wanapata nafasi ya kuconnect na mashabiki moja kwa moja.

Hii hapa ni orodha ya celebrities 15 wa Tanzania wenye followers wengi zaidi.
  • Diamond Platnumz – 8.1 million followers
  • Millard Ayo – 6 million followers
  • Wema Sepetu – 5.9 million followers
  • Vanessa Mdee – 5.5 million followers
  • Jokate Mwegelo – 5.3 million followers
  • Jacqueline Wolper – 5.1 million followers
  • Hamisa Mobetto & Shilole – 4.9 million followers
  • Aunty Ezekiel – 4.8 million followers
  • Linah Sanga – 4.6 million followers
  • Ali Kiba & Idris Sultan – 4.5 million followers
  • Harmonize – 4.3 million followers
  • Jux – 4.2 million followers
  • Zamaradi Mketema & Irene Uwoya – 4.1 million followers
  • Rayvanny – 4 million followers
  • Ommy Dimpoz – 3.9 million followers
 
Naomba kujua tofauti hii,,,yan utakuta mwengine anawafuasi 3m lakin hana kitik cha blue mwingine anawafuasi 96,000,,,amewekewa kitik cha blue.
 
kumbe Ommy Dimpoz level yngu tu 3.9mil? Em nichek Insta @gluck_kcom now na #uni follow ni mzidi huyu nai nai
 
Vipi kuhusu Dunia nzima celebritie gani mwenye followers wengi? Na kwenye bara letu la Afrika nani anae ongoza?
 
beth

King Kiba 4 point something followers but He followed no one kuna MANYAU YANAUMIA HAPO BALAA....BONGO HAMNA MWENYE FOLLOWERS WA KIASI HICHO AMBAYE HAJAMFOLLOW MTU.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom