Hizo za Dai mpeni kiba. Do vers versaAlikipa ana mil9.5 sema tu hapendi show off
Sijamuona zarina, maana asilimia kubwa ya followers wake wengi ni waTz.
CR7 anaongoza, 188M followersVipi kuhusu Dunia nzima celebritie gani mwenye followers wengi? Na kwenye bara letu la Afrika nani anae ongoza?
Aah aah aah! sio vizuri mungu anakuonaAlikiba anafanya nini kwenye list hastahili
Mwache kijana ame tuburudisha sana kipindi hicho Diamond anaitwa Abdul.Alikiba anafanya nini kwenye list hastahili
Sawa Abdu KibaKing Kiba 4 point something followers but He followed no one kuna MANYAU YANAUMIA HAPO BALAA....BONGO HAMNA MWENYE FOLLOWERS WA KIASI HICHO AMBAYE HAJAMFOLLOW MTU.
Ni Mtanzania au Mganda?Sijamuona zarina, maana asilimia kubwa ya followers wake wengi ni waTz.