Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
View attachment 471982
Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?

Jibu ni rahisi wamekosa akili na kujali muda wanaona vikojoleo na matandamo ndo kila kuti
 
Wema kasoma Malaysia mkuu , hata English yuko vizuri
Kasoma kozi gani uliza hahhaha....je alimaliza..
Kwa kifupi ni form four...
By the way issue hapa sio form four issue ni kuwa mjanja na akili za maisha..hata zari nahis ni form four sema ana big exposure....
 
Utampatiaje uambassador mtu kila siku anavujisha mapicha ya ngono mitandaoni!
Halafu angalia mfano yule dada aliyefanya video na diamond marry you alivyokuwa anapost kila siku kwenye page yake, angalau anaonyesha anathamini kazi yake!

Sasa hawa jitu likipewa pesa basi ndio linaondoka mazima!
Kifupi hawajui kumfanya mtu atamani kufanya nao kazi

Wanajua tu kuzifanyia brand papuchi zao tu,huko hakuna anayewafikia
Na ukifanya nao kazi hawakawii kusema umelala nao....wakati ni uongo..wanataka tu popularity...
Refer to
demu wa huku kwetu ya rayvan yule irene...na hamisa mobeto...woye hawa walisema diamond kawalala...
Its possible kuwa ilikua kweli au la..lkn mkataba wa kazi ni kutoa siri za ndani...hawajielew celebrite wabongo..wanaona raha kujitapa fulan kanitokea...wkt hayo ni mambo ya kawaida....
Sasa kwa dili la zari wangekuwa wao wangesema GSM ni kawatongongoza...sifa na publicity za kijinga zawaponza...
 
we nawe ,huyo zari mbona ana picha hadi za vichupi,au huwa huvioni.sema tu wewe ni diamond
Sasa chupi kitu cha ajabu ....chupi anavaa wapi swali.?? We ukienda beach unavaa dera...huyo wema wenu hatuoni vyupi lkn ni kahaba la kutupwa jitu linaliwa denda live live na kila aitwae mwanaume
 
Mkuu asante..

Aisee lile porno si la mchezo!

Asa mbona kadildo kibamia wakati naona ana bonge la hole!??

Ile video kweli Zari inamchafua sana asee, yaani ni zaidi ya Wema!
Aaah wapi eti zaid ya wema..maybe .ili mchafua sio inamchafua..je umeona akikosa deals kutokana na video moja??? ....ushaona inaongelewa sana... the thing is no....wanaongelea ni team wema ....waliitafuta ili kumchafua lkn alistand strong ..........
Tafuten jingine.....
 
Tatizo sio Wema tu masuper star wengi wa Tanzania wanashindwa kutengeneza umaarufu kama brand,Diamond na Joti ndio wamepata endorsement kutoka kwa makampuni ya biashara.Samatta,Ulimwengu,Wema,Kiba,VMoney,Shilole na wengine wengi wameshindwa kutumia umaarufu wao kibiashara
 
Aaah wapi eti zaid ya wema..maybe .ili mchafua sio inamchafua..je umeona akikosa deals kutokana na video moja??? ....ushaona inaongelewa sana... the thing is no....wanaongelea ni team wema ....waliitafuta ili kumchafua lkn alistand strong ..........
Tafuten jingine.....
We nae mxiuuuuu..
 
Back
Top Bottom