Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Kuna sababu nyingi: ngoja nikupe chache:

1. kujitambua kama icon unaeiwakilisha jamii

2. Utulivu katika ndoa, zari anaonekana amaetulia sana katika ndoa yake...

3. Uwezo wa kuzitumua fursa unazopata..zari katika fursa anawapita wote..alipata fursa ya kuolewa na diamond ameitumia kukuza biashara zake lakini kupata watoto wawili faster faster sasa kuwa icon wa gsmmalls nadhani akipata fursa zaidi atazitumia bala bala...
Kwa ndoa ipi
 
Sijakuelewa mkuu,kwahiyo unataka watoto wa kike wasile?
Kula kunahusiana vipi na kupiga mpunga mrefu?
Well...huyo Wolper anayekula amewahi kukuomba nini? Kwani umesikia ana shida? Hujui ana duka lake lake la nguo?
Hiyo GSM kwani ni ya Zari?

Tulia na ujifunze kujenga hoja mkuu.
Halafu kabla ya kumponda mtu hakikisha una details zake za kutosha.
Celebrity ni pamoja na kuangalia anakula nn
Zari anapata tender sababu ana ji keep warm kwa kupokea kazi kama hizo
Hawa celebrity wa kitz wala hawajui nafasi zao kwenye jamii,wapo hovyo hovyo tu
Isha wahi waona wawili watatu wamelewa chakari pale The basement
Celebrity inabidi mm ndiyo nimuombe siyo yy aniombe
Celebrity gani anakunywa savana 17 na kitimoto kilo 2 pekee yake na kila siku?
Hawana lolote!
 
Nilisikia wema kawekwa msukule na mtu mmoja Hivi nitawapa ubuyu baadae ndio maana hafanikiw
 
Upo sahihi. Hao wote walitoka na Dai lakini hawakuwa na akili ya kujua kwamba Dai shida yake haikua mwanamke mzuri wa kumpa pauchi kila siku. Dai alikua anataka mwanamke ambae pamoja na mapenzi, awe partner wake. Awe wana saidiana kiakili na kimaisha. Hapo ndipo Zari alipowashinda akina Wema na wenzie. You can see clearly Zari hajajibweteka tu kisa amezaa na super star. Ameona usuper star autumie kuibrand familia yao. Alipomzaa Tiffa, ilikua ni idea yake kwamba mtoto asionyeshwe mpaka 40 ifike na watumie hiyo fursa to brand their child. Idea ikanunuliwa na sponsor NMB na GSM pia. Unaona hapo?
Kuna team Wema humu watamtusi Zari na uzazi wake, lakini ukweli utabaki hivyo hivyo. Zari akija Tz hazururi m night clubs na mavigodoro kutwa kuchwa. Au mashoga kutwa kuchwa. Ni kitu kinachomfanya fans na wasio fans wawe na kiu ya kumuona. She has carried herself well and with class being Diamond's other half. Sasa mtu kama Wema kutwa yuko huku kule, mara anakata mauno stejini, mara ameenda kutangaza mimba ya wiki 6 kwenye radio, mara yuko na Mcongo, mara yuko na Calisah etc...kweli mtu mwenye biashara yake atataka iwe represented na mwanamke kama huyo?
Kuna kitu kinaitwa Brand Personality...ukielewa hii utaelewa why GSM used Zari and not Wema au Lulu etc


Thumbs UP
 
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
View attachment 471982
Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?
Wabongo hawathamini vyao. Kumbuka Odemba na wengine kibao wanakula shavu outside TZ
 
Aisee Mr.@BAK: Hilo pia ni bonge moja la point aisee....kutulia katika ndoa despite ya majaribu mengi mengi ayapitiayo...give her CREDITS to shine in diamond country..

Mimi binafsi instagram kule ni msanii pekee wa kike aliyepo bongo niliyemfollow the rest nakuwaga sina imani nao..unaweza ingia ukakutama mapicha yao ya nguo za ajabu ajabu!!
we nawe ,huyo zari mbona ana picha hadi za vichupi,au huwa huvioni.sema tu wewe ni diamond
 
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani.
Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa Pugu mall kutimiza majukumu take
View attachment 471982
Cha kujiuliza Bongo tuna celebrities wa kike kibao kuanzia Wema sepetu mwenye wafuasi kibao, jokate, Kajala, Shilole, Wolper, Uwoya, Vanessa mdee, na wengine kibao, Hawa nawakosa mini kupata madeal ya maana kama haya? MTU katoka Uganda kapata deal
Tatizo ni mini hapa?
Wanakosa pesa na wanaendekeza njaaa
 
celebrity gani wanazurula kila baa mpya wapo,club mpya wote wapo...na beef za instagram zisixokwisha...
 
wabongo wanawaza kumwagiwa maji na kutafuta status nzuri za birthday kule whatsapp ila huyu zari anawaza ni jinsi gani party yake itamuingiaje mapesa ya kumwaga..Ni role model
 
Back
Top Bottom