Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Zari anawazidi lugha na exposure huyu mama kafika na kuishi nchi kadhaa ikiwemo UK,SA, Ug na sasa Tz nk,wadada wengi English kwao mtihani na exposure yao iko very limited
Kasomea mambo ya urembo na cosmetics, wadada wa Bongo movies wamesomea niniii??
ni mfanyabiashara mwenye shule/chuo pia wa nguo na jewellery hivyo ana nidhamu ya kazi,wadada bongo wanategemea madanga kwa kiasi kikubwa
Ni mzuri by nature,weupe sio wa mkorogo ule na anajiongezea kwa lifestyle classic anayoishi,wabongo mikorogo ndo yao na mazoezi vipiiii..
Ni mtoaji sanaa,huwa anasaidia sana yatima huko Uganda mara kwa mara anaenda na wale wanae wakiume..bongo wadada wanajitolea mara ngapi kijamii??
na anaonekana ana skills za kumtuliza mwanaume ..Dai kahangaika sana mjini hp kabla ya Zari
Mengine nyotaa,pia zari anawazidi umri wengi wao
 
Kwa kias kidogo nachomfaham zar, kwa utajir alionao na kwa utulivu alionao n mwanamke shupavu... Sasa utamfananishaje zar na wema au ant ezekiel, bila mwanaume zar maisha yake yanaenda, sasa sijui kwa wema na wenzie.... Ni aibu tu
 
Kwa uelewa wangu mdogo/mkubwa nadhani ana yule "Diamondplatnumz" ambae mademu wengi au wote hawana.Nawaza tu!.
 
Kama mtu anashinda kwenye vigodoro unategemea atapata wapi akili ya maisha. You become like the people you hang out with. The Bossylady ni kichwa yaani full mjasiriamali.. How you carry yourself matters a lot. Na yule mwanamke amemshape sana diamond kujiposition vizuri kibiashara. Kila opportunioty wanai sieze as a couple.
 
Just imagine balozi wa biashara yako Wema sepetu halafu analazwa selo kwa msala wa bhangi,unajionaje ww uliyempa dili??
 
Zari syo muuza sura kama ndugu zetu na ana focus kubwa kama wa hawa ndg zetu
 
Back
Top Bottom