homa ya nini tuwe wakweli toka dk ya 1 ulitarajia nini timu ambayo haina hata mission inayoonekana. Shangilia ushindi wa Uganda bongo mdebwedo hata zenji watawaoa.
mkuu nipe habari nasikia Ngassa ameuzwa dolla elfu 70 na azamu, ila Rage ni kama anazitaka hizo dolla kwa kigezo kuwa Ngassa ni mchezaji halali wa Simba...nani mwenye haki na Ngasa kati ya Rage na Azam.?