Hakuna kosa alichofanya Juma K Juma Mabeki nao wanacheza Foul za mchangani wanaona kurusha miguu ya kifua ndio mpira na Rebound hakuna hata mchezaji mmoja wa Kilimanjaro aliyewavamia Cranes japo najaribu kumtetea Juma Kasseja naye ni muda kuweka Gloves chini awapishe wengine.
rafu ya kizembe sana imechezwa na Tanzania, Kaseja kadaka na kuutema mpira, waganda wanashambulia hapa kama watatu hivo,,,,ni goli!!Ssentongo tena!!-UG 3 vs TZ O
rafu ya kizembe sana imechezwa na Tanzania, Kaseja kadaka na kuutema mpira, waganda wanashambulia hapa kama watatu hivo,,,,ni goli!!Ssentongo tena!!-UG 3 vs TZ O