Bocco sio kwamba hachezi vizuri inahitajika Middle inayoingia na kumchomekezea Pasi nzuri za chini Ruler pass iliyokwenda shule Ngassa ndio wakutolewa anakimbia tu mabio basi.
Vipi mpira ukianzishwa then ukapigwa kuelekea langoni kwao....Watapaa kurudi nyuma kuokoa?.....Ni mpangilio tu wa nafasi za uwanjani...Japo hakuna sheria inayomzuia beki kuanzisha mpira
Bocco sio kwamba hachezi vizuri inahitajika Middle inayoingia na kumchomekezea Pasi nzuri za chini Ruler pass iliyokwenda shule Ngassa ndio wakutolewa anakimbia tu mabio basi.
Hili Ndio tatizo letu tukifungwa tunataka kulazimisha mpira kuupiga juu haraka za nini tunatakiwa tutulie Na Mabeki wetu wanakuwa Kama wanacheza Mpira wa Magoli ya "Mawe" mtu akishaona kashindwa anaanza Rafu tutulie mpira DK ni 90 tutulie taratibu Ngassa amtoe tu.