ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 3, 2012 #941 OKW BOBAN SUNZU said: Hata kama, 2-1 mpira umekwisha............Tunawatakia mpakato mwema Rwanda Click to expand... mbona bala kasema refa kakataa mkuu vipi tena..
OKW BOBAN SUNZU said: Hata kama, 2-1 mpira umekwisha............Tunawatakia mpakato mwema Rwanda Click to expand... mbona bala kasema refa kakataa mkuu vipi tena..
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 3, 2012 #942 Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba damu!!!
Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba damu!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 3, 2012 #943 Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba!!!
Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba!!!
WABHEJASANA JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 4,225 Reaction score 869 Dec 3, 2012 #944 Dakika 90 zimeongezwa 4 bado 3
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Dec 3, 2012 #945 Balantanda said: Dakika ya 85 Rwanda 0-2 Tanzania Click to expand... safi sana starz naomba kujua wafungaji..
Balantanda said: Dakika ya 85 Rwanda 0-2 Tanzania Click to expand... safi sana starz naomba kujua wafungaji..
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 3, 2012 #946 ndetichia said: yupo FB ndio anafuatilia huko mpira... Click to expand... mmmh!! hivi wale nao wana update za mpira mi nikajua huko ni mahusiano tu!!
ndetichia said: yupo FB ndio anafuatilia huko mpira... Click to expand... mmmh!! hivi wale nao wana update za mpira mi nikajua huko ni mahusiano tu!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 3, 2012 #947 Duh!... Huyu Refa bana.... Dakika 4 za nyongeza, sijui zimetoka wapi hizi
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Dec 3, 2012 #948 Zamaulid said: acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba damu!!! Click to expand... kumbe hujui..naomba wafungaji
Zamaulid said: acha bwana!!usiniambie kumbe hata yanga wote simba damu!!! Click to expand... kumbe hujui..naomba wafungaji
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 3, 2012 #949 Full Time Rwanda 0-2 Tanzania
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,047 Reaction score 134,349 Dec 3, 2012 #950 Matangazaji ya TBC taifa Maboya? mbona hayatangazi......wamewekwa plasta
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 3, 2012 #951 Balantanda said: Free kick kuelekea lango la Tanzania.......Goal kick Click to expand... kiongozi hebu fanya summary kabla ya kuondoka kwenye chumba cha kutangazia!!! matokeo ya mwisho kumbushia wafungani kama kuna kadi zilizotoka na mengine muhimu ya ndani na nje ya uwanja!!!
Balantanda said: Free kick kuelekea lango la Tanzania.......Goal kick Click to expand... kiongozi hebu fanya summary kabla ya kuondoka kwenye chumba cha kutangazia!!! matokeo ya mwisho kumbushia wafungani kama kuna kadi zilizotoka na mengine muhimu ya ndani na nje ya uwanja!!!
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 878 Dec 3, 2012 #952 Tumeshindaaaaaa!! Rwanda 0-2 Kilimanjaro Stars.Full time wale waliosema hatuwezi wako wapi tena??
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Dec 3, 2012 #953 Crashwise said: kumbe hujui..naomba wafungaji Click to expand... Kiemba na Bocco kaka...
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 3, 2012 #954 Leo Kiemba kacheza vizuri sana, hongera stars hongera watanzania wote, kila la heri Zanzibar Heroes.
Waridi JF-Expert Member Joined Mar 30, 2008 Posts 1,025 Reaction score 173 Dec 3, 2012 #955 Crashwise said: kumbe hujui..naomba wafungaji Click to expand... Kiemba na Bocco
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 3, 2012 #956 Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... mkuu habari za wewe...
Crashwise said: kwani damu yake rangi gani..jamani ndiyo nimeingia mtandaoni magoli ya starz nani kafunga? Click to expand... mkuu habari za wewe...
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 3, 2012 #957 Crashwise said: kumbe hujui..naomba wafungaji Click to expand... bocco goli la pili
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Dec 3, 2012 #958 Crashwise said: safi sana starz naomba kujua wafungaji.. Click to expand... Goli la kwanza limefungwa na Amri Kiemba dakika ya 34.....La pili limefungwa na John Bocco dakika ya 54 Magoli yote yamepikwa na Mwinyi Kazimoto
Crashwise said: safi sana starz naomba kujua wafungaji.. Click to expand... Goli la kwanza limefungwa na Amri Kiemba dakika ya 34.....La pili limefungwa na John Bocco dakika ya 54 Magoli yote yamepikwa na Mwinyi Kazimoto
WABHEJASANA JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 4,225 Reaction score 869 Dec 3, 2012 #959 Game over sisi 2 wao 0.wakora,wabhejasana,ahsante,erokamano ahinya,bhiriyeke,wakusarura,kurimaniya,Thenki yu!!!!!!!!
Game over sisi 2 wao 0.wakora,wabhejasana,ahsante,erokamano ahinya,bhiriyeke,wakusarura,kurimaniya,Thenki yu!!!!!!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,357 Reaction score 108,494 Dec 3, 2012 #960 Balantanda said: Full Time Rwanda 0-2 Tanzania Click to expand... Dah...sasa ndugu zetu Zanzibar wanatakiwa wafanye juu chini wawakalishe wale Warundi ili walau tuwe na uhakika wa kuchezesha timu moja fainali...
Balantanda said: Full Time Rwanda 0-2 Tanzania Click to expand... Dah...sasa ndugu zetu Zanzibar wanatakiwa wafanye juu chini wawakalishe wale Warundi ili walau tuwe na uhakika wa kuchezesha timu moja fainali...