CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Huu uwanja ni safi kabisa kuliko ile mbuga ya Namboole. Hapa mpira unachezeka. 3-0 Bocco.
 
Half Time Somalia 0-Tanzania 5
Mrisho Ngassa 3
Bocco 2
 
Kama nilivosema kwa hawa jamaa tutawanyowa na kuondoka na lundo la nywele zao, kwa mwendo huu somalia ndo timu laini kabisa kuliko zote.
 
ukimwi ukimwi ukimwi! leo hatujaangalia mechi sababu ya ukimwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…