idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,440 Nov 28, 2012 #521 huu mpira hauna matumaini kabisa ya kushinda.!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Nov 28, 2012 #522 watu8 said: Hahaha...timu yetu huwa haitabiriki, ili tushinde huwa tunahitaji nafasi kama 10 hivi Click to expand... kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!!
watu8 said: Hahaha...timu yetu huwa haitabiriki, ili tushinde huwa tunahitaji nafasi kama 10 hivi Click to expand... kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Nov 28, 2012 #523 idawa said: huu mpira hauna matumaini kabisa ya kushinda.! Click to expand... we ungekuwa daktari nisingeleta mgonjwa kwako!!!
idawa said: huu mpira hauna matumaini kabisa ya kushinda.! Click to expand... we ungekuwa daktari nisingeleta mgonjwa kwako!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Nov 28, 2012 #524 rmashauri said: Ni kweli mkuu. Pepo wa kufungwa ashindwe na alegee kabisa Click to expand... mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache
rmashauri said: Ni kweli mkuu. Pepo wa kufungwa ashindwe na alegee kabisa Click to expand... mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Nov 28, 2012 #525 Zamaulid said: kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!! Click to expand... haswa...
Zamaulid said: kiongozi unataka kusema katika nafasi za wazi 10 ndo tunapata goli 1!!! Click to expand... haswa...
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Nov 28, 2012 #526 watu8 said: mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache Click to expand... Du! Mbaya sana hii
watu8 said: mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache Click to expand... Du! Mbaya sana hii
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Nov 28, 2012 #527 idawa said: hako kapepo ka watu8 kametukumba wengi, kwa huu mpira ngoja tuone.! Click to expand... huyo pepo tumemkaribisha wenyewe...yaani inauma kweli hawa Burundi sio timu ya kutufunga sisi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
idawa said: hako kapepo ka watu8 kametukumba wengi, kwa huu mpira ngoja tuone.! Click to expand... huyo pepo tumemkaribisha wenyewe...yaani inauma kweli hawa Burundi sio timu ya kutufunga sisi
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Nov 28, 2012 #528 watu8 said: mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache Click to expand... mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: mkuu hili game tushalala, hapa tunaangalia kwa upenzi wa soka tu....kama umefuatilia haya mashindano ushindi huamuliwa kwa magoli machache Click to expand... mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 28, 2012 Thread starter #529 John Bocco...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Nov 28, 2012 #530 Zamaulid said: mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90! Click to expand... Hahaha mkuu tamaa nilikata tokea Mphamvu alipotuma thread yake ya shukrani leo mchana...nilijua leo hawa jamaa watatupania ili wajihakikishie kucheza robo fainali mapema... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zamaulid said: mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90! Click to expand... Hahaha mkuu tamaa nilikata tokea Mphamvu alipotuma thread yake ya shukrani leo mchana...nilijua leo hawa jamaa watatupania ili wajihakikishie kucheza robo fainali mapema...
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,072 Reaction score 134,443 Nov 28, 2012 #531 Mphamvu said: John Bocco... Click to expand... Mkuu hilo sio goli, refa boya
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Nov 28, 2012 #532 Mphamvu said: John Bocco... Click to expand... imekuwaje...!!!kafunga?
namanyele JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,852 Reaction score 611 Nov 28, 2012 #533 nimerudi
WABHEJASANA JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 4,225 Reaction score 869 Nov 28, 2012 #534 Mphamvu said: John Bocco... Click to expand... Mkuu mi nasepa bwana nawahi hotelini kuna foleni zaidi ya ile ya Dar hapa naona tumelizwa mtanijuza
Mphamvu said: John Bocco... Click to expand... Mkuu mi nasepa bwana nawahi hotelini kuna foleni zaidi ya ile ya Dar hapa naona tumelizwa mtanijuza
WABHEJASANA JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 4,225 Reaction score 869 Nov 28, 2012 #535 namanyele said: nimerudi Click to expand... Kutoka wapi mkuu?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,072 Reaction score 134,443 Nov 28, 2012 #536 namanyele said: nimerudi Click to expand... Kufanyaje...............
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Nov 28, 2012 #537 WABHEJASANA said: Mkuu mi nasepa bwana nawahi hotelini kuna foleni zaidi ya ile ya Dar hapa naona tumelizwa mtanijuza Click to expand... Pole kaka...
WABHEJASANA said: Mkuu mi nasepa bwana nawahi hotelini kuna foleni zaidi ya ile ya Dar hapa naona tumelizwa mtanijuza Click to expand... Pole kaka...
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Nov 28, 2012 #538 Kaseja bomba sana. Kafuta la wazi.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,440 Nov 28, 2012 #539 Zamaulid said: mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90! Click to expand... mkuu Zamaulid mpira unajieleza, labda kama unaangalizia nyuma ya tv. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zamaulid said: mkuu watu8 mbona unakata tamaa mapema kama idawa,soka dakika 90! Click to expand... mkuu Zamaulid mpira unajieleza, labda kama unaangalizia nyuma ya tv.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 28, 2012 Thread starter #540 Mphamvu said: Yusuph Ndikumana alichezewa rafu ndani ya boksi na Shomari Kapombe... Click to expand... Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya.... Wao moja sisi bila!
Mphamvu said: Yusuph Ndikumana alichezewa rafu ndani ya boksi na Shomari Kapombe... Click to expand... Anafunga pale Ndikumana a.k.a Baba Irene Uwoya.... Wao moja sisi bila!