CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

Said Mohammed Ndunda wa Mtibwa Sugar

Afadhali leo hajadaka golikipa wa Yanga. Kikosi kilikuwa hivi:
1. Said Mohamed - Mtibwa Sugar
2. Kessy Ramadhan - Simba
3. Mohamed Hussein - Simba
4. Kelvin Yondani - Yanga
5. Shomari Kapombe - Azam
6. Jonas Mkude - Simba
7. Simon Msuva - Yanga
8. Himid Mao - Azam
9. John Bocco - Azam
10. Said Ndemla - Simba
11. Deus Kaseke - Yanga

Coach: Abdallah Kubaden - Simba.

Who is to be blammed!!!!!!!!!!!!!!.
 
Kwani Jeche ameyakubali matokeo..hii ngoma inarudiwa wewe unacheza na wabongo...

Ni rahisi Zanzibar Heroes kuifunga Harambee Stars 3-1 kuliko Jecha kuyakubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015.
 
Afadhali leo hajadaka golikipa wa Yanga. Kikosi kilikuwa hivi:
1. Said Mohamed - Mtibwa Sugar
2. Kessy Ramadhan - Simba
3. Mohamed Hussein - Simba
4. Kelvin Yondani - Yanga
5. Shomari Kapombe - Azam
6. Jonas Mkude - Simba
7. Simon Msuva - Yanga
8. Himid Mao - Azam
9. John Bocco - Azam
10. Said Ndemla - Simba
11. Deus Kaseke - Yanga

Coach: Abdallah Kubaden - Simba.

Who is to be blammed!!!!!!!!!!!!!!.

Kama kweli timu ilipangwa hivi sasa nimeamini Tanzania tumerogwa si bure.

Unashindaje na timu mbovu ya namna hii?
 
Nimechoka kusononeshwa na matokeo ya timu za Soka za Taifa Tanzania. Majeraha ya 7-0 hayajapona yameyotoneshwa na timu dhaifu kabisa ya Ethiopia. Nataka kufanya maamuzi magumu.

Naomba msaada wa ushauri nasaha wakuu.
 
Fanya tu, haya makocha wazawa na wachezaji yanaudhi sana sometimes.

Mkwasa ametutia aibu ya milenia, Kibaden anatolewa na timu dhaifu kupita zote zilizoingia robo fainali
 
Hahaha...

Badilisha uraia uwe muAlgeria...

Kuna haja ya Magufuli kuzitembelea hizi timu za mpira pia...

Mkuu unaniruhusu nifanye maamuzi magumu! Nataka kuji-flower, niendelee?
 
Hahaha...

Badilisha uraia uwe muAlgeria...

Kuna haja ya Magufuli kuzitembelea hizi timu za mpira pia...

Timu yote wanyang'anywe passports, hakuna kusafiri nje ya nchi kwa miaka mitano, wakamatwe, wawekwe ndani na fedha ziltakazookolewa zikaboreshe timu za vijana.
 
nimefurahi sana kufungwa. Huwezi kushangilia timu mbovu kama tanzania. Rudini home mana hakuna mnachokifanya kazi ni kuwasndkza wenzenu2.
 
Ss tuko vzur kwenye uchakachuaj
 
Back
Top Bottom