Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,326
Kakosa
Boya wa Simba huyo lazima akose!
Kakosa
Matuta golikipa wa Tanzania ni nani?
Hatuwezi kucheza wote.
Kakosa
timu zipo nyingi
Nani kakosa? Tanzania au Ethiopia?
nani kakosa?????
Mkuu minyoo mie mwenyewe nafatilia updates hapa hapa. Ila kama kipa ni Manula tutavuka
Kipa nani mkuu?Acha tuishie hapa hapa tusijepigwa 7-0 huko mbele ya safari.
Tumethubutu, tumeshindwa, tunarudi nyumbani.
Kapombe nae kakosa, hii team ni pasua kichwa
Kapombe nae kakosa, hii team ni pasua kichwa
Kipa nani mkuu?
Tanzania out!!!!
Jamal Malinzi
Said Mohammed Ndunda wa Mtibwa Sugar
Aisee, inabidi tuache siasa michezoni sasa.Huyu Jamal Malinzi nasikia alikuwa anakuwa wa mwisho darasani Omumwani - Bukoba, naona alichokipata darasani amekileta kwenye soka letu.