CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

CECAFA Robo Fainali: Ethiopia Vs Tanzania Bara

Kikosi kilipangwa kama vile Mzee Kibadeni alichoka kukaa Ethiopia hivyo akapanga kikosi hovyo ili arudi kuikuta Familia yake.
 
mimi nilishasema Yule rais mstaafu akishajiusisha na Stars hatushindi sijui ni kwanini
 
Kibaden na genge lake waliokuwa huko ethipia wachunguzwe. Kuna kila dalili ya kuwa wamefanya uzembe mkubwa wa kuitoa timu mashindanoni
 
Back
Top Bottom