CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

kweli ni noma sana..

Hakunaga kama siku ya leo.
Kila ninayekutana naye nsmchapa 10,000/=. Nimefurahi sana Azam kutolewa, wajifunze kucheza fair play. Walitakiwa kukataa mwaliko wa kifisadi uliotengenezwa na Musonye. Bila shaka Musonye ataanzisha mashindano mengine ili Azam washiriki tena. Shame on you Musonye forever.
 
Hoja zako makoye zinafanana sana na za mwandishi aitwa sylvester hanga. Kama pacha vile.
 
yaani hata hawakusikika,ingekuwa yanga au simba humu pasingekalika
Kusikika ni uamuzi wa Media, hakuna uhusiano na ubora wa timu. Azam inabaki kuwa timu bora kabisa katika kipindi hiki cha kuelekea mabadiliko ya Soka, hilo halipingiki.
 
Mchezo kati ya KCCA na El-Mereikh imeanza hapa Nyamirambo
 
El-Mereikh wanapata goli la kuongoza hapa, goli la kujifunga la golikipa wa KCCA.
 
Mpira ni mapumziko sasa, bado Waarabu wanaongoza kwa goli moja.
 
KCCA wanasawazisa dakika ya 50, shambulizi zuri kabisa. Mfungaji ni Tom Masiko
 
El-Mereikh wanapata goli la pili hapa, Raggi anamalizia rebound murua kabisa...

Sisi 1, wao 2
 
Brian Umony anaisawazishia KCCA kwa goli safi kabisa dakika ya 82.

Sisi 2, wao 2.
 
Muda wa nyongeza umekwisha baada ya mechi kuisha 2-2, tunasubiri penati sasa.
 
Back
Top Bottom