CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

Kipa wa El-Mereikh anafunga penati hapa, na anafunga.... Ni rasmi kuwa wamefuzu kwenda fainali.
 
kweli ni noma sana..

Azam FC says:

'Ninayo hamu kurudi nyumbani, nyumbani kwetu ambapo hatutatengana... Kwetu pazuri nimeshapakumbuka... (Source: Gazeti la Bingwa la tarehe 23/08/2014, kibonzo, pp. 22, column 1).
 
kwa wale wanaoshabikia bonanza la cecafa linaisha leo pale chigali .hebu tuelezane ukweli yale ni mashindano kweli hebu angalia utaratibu wake unaweza fananisha na mashindano yapi za ya bonanza
poleni kwa wanaoshabikia hayo mashindano ni kutokuelewa au ni viposho wanavyopata.
 
Mheshimiwa 'Spika' naomba kutoa taarifa kuwa mashindano ya CECAFA yamefanyika na kukamilika kwa muda uliopangwa. Aidha timu ya Azam ilitolewa na El-Merreikh na kwamba hao El-Merreikh wameifunga timu ya APR 1-0 katika mchezo wa fainali. Kwa matokeo hayo El-Merreikh wamevikwa taji la ubingwa wa Vilabu vya Musonye Afrika Mashariki na Kati mwaka 2014.

Mheshimiwa 'Spika' naomba kutoa hoja.
 
asante natoa nafasi mbili wa waheshimiwa kuongezea la ziada kwa taalifa hiyo
 
Back
Top Bottom