Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 255
- Thread starter
- #121
Azam wamekoswa goli dakika ya 82 hapa..
Tuko mbele kwa tuta 1-0Mpira umeisha inasubiriwa mikwaju ya penati
Mwili mkubwa akili kisoda huyu fowadi wa Haiti. Daaah....
yaani hata hawakusikika,ingekuwa yanga au simba humu pasingekalikaPole yao Azam....
Kama namuona Kanjanja Bin Zubeiry
sijui walichukuaje kombe ligi kuu bongoUongozi ni tatizo kubwa sana azam
Pole yao Azam....
Kama namuona Kanjanja Bin Zubeiry
It is done, an equation has been balanced. Thank you God for answering our prayers.