Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Acha wivu wewe mnazi wa Yanga. Azam mashine kubwa.
Poleni sana kwa kuajiri galasa Marcio.
Huyo Phiri mmemuajiri kwa mara ya ngapi? Angekuwa mali si angebaki Msimbazi milele? Mkimtimua safari hii mtamtafuta yule Siang'a wa Kenya.
Ha ha haaa! We jamaa kiboko; na hiyo avatar yako ya Patrice Lumumba. Mimi sijawahi kuwa shabiki wa Simba. Kama Azam ina uhusiano na Simba, hilo ni suala jingine kabisa. Mimi ni shabiki wa Azam tu. Timu nyingine zilizobaki Tz, naziona ni wababaishaji tu. Nimekuwa shabiki wa timu za west europe kwa zaidi ya 15 yrs wakati naishi huko.
Kwa taarifa yako: baadhi ya viongozi wa juu wa timu yako ya Yanga ni watu wangu wa karibu.
Mkuu, Soko la Mbagala nadhani walikuwa Afrikan Lyon ambao walinunuliwa na mhuni Dewji walipomshinda akamuuzia yule mama wa Zanzibar nae ikamshinda akamuuzia Rahimu KangeziAsante Mkuu kwa ku-declare interest, mpinzani pekee wa Yanga ni Simba na kama huipendi Simba, wewe ni Yanga, by implication or conduct! Hata Yesu alikuwa na wafuasi kwa njia ya siri. Huwezi kuwa Azam peke yake, kitimu chenyewe kilikuwa cha Soko la Mbagala!
Leo tarehe 20.08.2014 timu ya Azam FC itaingia kiwanjani kupambana na Almerreikh ya Sudan katika mchezo wa robo fainali ya CECAFA KAGAME CUP. Mchezo utaanza saa 8:30 mchana kwa saa za Rwanda na itakua sa9:30 Dar.
Wawakilishi wa leo ni;
1 . MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. JOHN BOCCO
10 KIPRE TCHETCHE
11. LEONEL SAINT PREUX
AKIBA
AISHI MANULA
MUDATHIR YAHYA
SAID MORAD
DIDIER KAVUMBAGU
GAUDENCE MWAIKIMBA
GADIEL MICHAEL
KHAMISI MCHA
Mungu ibariki Azam FC, Mungu ibariki Tanzania!
Mkuu, Soko la Mbagala nadhani walikuwa Afrikan Lyon ambao walinunuliwa na mhuni Dewji walipomshinda akamuuzia yule mama wa Zanzibar nae ikamshinda akamuuzia Rahimu Kangezi
Kuna kathread nimekafufua ka tangu 2009, kanazungumzia dhamira ya 'dhati' ya Dewji kuendeleza soka wakati alipoinunua Mbagala MAkertUko sahihi Mkuu, kumbukumbu zilikaa kushoto. Asante kwa masahihisho.
Mpira umeanza hapa, embu njooni nyie viumbe
Anatolewa na Didier Kavumbagu anaingia nafasi yake, dogo anatolewa na machela....John Bocco anaumia hapa