CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

Adama city ni timu ya daraja la 2 nchini Ethiopia waliteuliwa mara baada ya timu zote za ligi kuu kukataa kushiriki kagame cup

Hahah!!!

Kumbe Yanga hawakukosea sana...
 
Mechi ya inayofuata Azam fc vs Atlabara ya sudan kusini
 
Azam anachomoa goli la pili...

Dk 87

Azam 2 - 2 Atlabara
 
Hawa Azam ni wachovu, hivi kama wasingenunua ile mechi ya KMKM, wangemfunga nani?

Hata hivyo wamecheza vizuri, dk za mwisho wamekosa nafasi mbili za wazi mojawapo ikiwa ya Himid Mkami ambapo alipiga shuti nje...
 
Back
Top Bottom