CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

CECAFA Kagame Cup 2014, Rwanda

Watani mmeshindwa kabisa kuficha hisia zenu kwa Musonye
 



attachment.php


Mechi za leo Jumatatu Agosti 11,


CECAFA KAGAME INTER-CLUB CUP 2014 FIXTURES


MON 11. AUG
14:00​
vs
Benadir SC

16:00​
vs
Gor Mahia

18:00​
vs
Vital O

Chanzo: Futaa


 
Last edited by a moderator:
Teh, usiniambie ni mambo ya Zanzibar si Nchi?
Mkuu, bonanza za CECAFA zinahusisha nchi kwa vilabu na timu za taifa. Zanzibar ni nchi kiCECAFA sawa na Tanganyika (inayovaa koti la Tanzania), Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Sudani, Sudani Kusini, Eritrea, Somalia n Djibuti. Sasa TBC kuweka bendera za nchi TANO tu huo ndio 'ukweli na uhakika?' Kama unadhamiria kufanya jambo basi ni heri kulifanya KIKAMILIFU na si vinginevo.
 
Mkuu, bonanza za CECAFA zinahusisha nchi kwa vilabu na timu za taifa. Zanzibar ni nchi kiCECAFA sawa na Tanganyika (inayovaa koti la Tanzania), Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Sudani, Sudani Kusini, Eritrea, Somalia n Djibuti. Sasa TBC kuweka bendera za nchi TANO tu huo ndio 'ukweli na uhakika?' Kama unadhamiria kufanya jambo basi ni heri kulifanya KIKAMILIFU na si vinginevo.
Nimekusoma mkuu, nilikuwa nafanya jokes tu...
 
Mchezo unaoendelea ni kati ya Athletico ya Burundi na Gor MAhia
 
we nadhani ni moja ya viongozi wa ile timu inayohonga mil150 ili tu kushinda ligi kuu ya mil70. Mapovu naona yanakutoka na mwaka huu utakonda sana,utahonga na utapigwa

Mkuu NGARUKA na wale waliomsajili OKWI kwa yale mamilioni, akili zao unaziweka wapi? wivu wa kike!
 
Last edited by a moderator:
Athletico wanapata goli la uongoza dakika ya 73, mfungaji ni Haziyemana
 
Mpira umekwisha.

Athletico wanashinda kwa goli moja kwa bila
 
Matokeo ya mechi za jana

CECAFA KAGAME INTER-CLUB CUP 2014 RESULTS


MON 11. AUG
18:00​
1
- 3

Vital O
Police FC​


16:00​
0
- 1
Gor Mahia
Atletico Olympic​


14:00​
0
- 4
Benadir SC
Al-Merreikh​





 
[h=2]CECAFA KAGAME INTER-CLUB CUP 2014 FIXTURES[/h]
TUE 12. AUG
13:00​
vs​
KMKM FC
Adama City



13:00​
vs
Azam FC
Al-Ama



 
Kutoka katika ukurasa wa Facebook wa Azam FC

Azam FC leo tarehe 12.08.2014 inaingia tena dimbani hapa Kigali Rwanda katika uwanja Kigali Regional Stadium maarufu kama Nyamirambo Stadium, kucheza mchezo wa tatu wa CECAFA KAGAME CUP ambapo itacheza na Atlabala ya Sudan Kusini. Ushindi wowote kwa Azam FC utaifikisha katika hatua ya robo fainali. Mechi itaanza saa 12 jioni majira ya nyumbani Tanzania na 11 jioni Rwanda.

Wanaotuwakilisha leo ni hawa hapa;

1 . AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. GADIEL MICHAEL
4. SAID MORAD
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. GAUDENCE MWAIKIMBA
10. KIPRE TCHETCHE
11.LEONEL SAINT PREUX
AKIBA
MWADINI ALI
DAVID MWANTIKA
DIDIER KAVUMBAGU
FARID MUSSA
KHAMISI MCHA
ERASTO NYONI
MUDATHIR YAHYA

Mungu ibariki Azam FC, Mungu ibariki Tanzania!

Wapi ndetichia?
 
Last edited by a moderator:
Adama city ni timu ya daraja la 2 nchini Ethiopia waliteuliwa mara baada ya timu zote za ligi kuu kukataa kushiriki kagame cup
 
Back
Top Bottom