Kwa sababu leo mimi naangalia ufundi hadi sasa Azam wako vizuri kiufundi kilichobaki ni mbinu tu kama wanataka kushinda, na Yanga kama wanataka kushinda inabidi waboreshe mbinu zao maana kiufundi mpaka sasa wamezidiwa.
Kweli kabisa,Azam wako safi sana kiufundi...niko na Mkenya hapa haamini kama kweli Azam ni timu ya Tz.Yanga bado wanacheza mipira mirefu ambayo mingi inapotea...wanataka wafike golini kwa shortcut ya pasi ndefu na mbio.