Inawezekana alimaanisha Bata kweli maana kuna member hapa JF anaitwa Batabata tena au Balantanda TIQO vip tena.. au stress za jmo nini...
Inawezekana alimaanisha Bata kweli maana kuna member hapa JF anaitwa Bata
View Profile: Bata - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Mbona kama Crashwise simwoni kabisa leo kwenye hili jukwaa???
Ama hakujua kwmb Yanga Fc leo wangekuwa uwanjani?
Hivi kuna mshindi wa nne hadi wa tatu?
mi simlaumu kocha,,ninacho jiuliza mimi kwanini waliongeza dakika 30 wakati hii si fainali,na kama wangepiga penati yanga angetolewa,,mpira wa bongo bwana hakuna kitu,,kwanzia rais,mpaka waziri upepo tuuuu kichwani
Masaburi yanaongea!...,japo ukwli yanga tumebebwa..
"This is Africa" ni kama alimaanisha: Africans always win when those of their kind are in charge.
Hivi timu iliyobebwa inaweza kucheza ikiwa na wachezaji 10 baada ya mchezaji mmoja(Taita) kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kosa ambalo Refa mwingine angeweza kulisamehe?.........Kweli this is africa kwani uongo,ths is not america or asia,japo ukwli yanga tumebebwa..