CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Natamani Azam na Yanga wakutane, halafu Canavaro na Mwasyika wawepo ndani ya kikosi, halafu pale mezani Fourth Official awe ni Israel Mkongo.
 
Jamaa wa APR anadive na refa anapiga filimbi....Freekick kuelekea lango la Yanga....Hatari

Inagonga ukuta wa Yanga....
 
What a goal by Hamis by Hamis Kiiza(100th minute)....

Dakika ya 102

APR 0-1 Yanga
 
Dalili za kombe kubaki nyumbani zinanukia sasa. CECAFA wanaomba mpira uishe sasa maana mapato yatakuwa bwelele siku ya fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…