CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Shamte Ally naye anatoka....

Anaingia Rashid Gumbo 'Fundi'
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!
 
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!

No, coach Saintfiet ni tactician.....so anatakatisha.
 
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!

wtf kumbe ndio hivyo heehheheheheheeeee mnalo hilo limewaganda..sosi taarab
 
Si mchezo.....Kweli Yanga timu ya wananchi.....lol!

There are currently 236 users browsing this thread.
(66 members and 170 guests)
 
Dakika 30 za nyongeza.....

Hii ngoma ni nzito kwa kweli

Mpira umeanza...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…