Mkuu hakuna haja ya usajili, vijana waliopo ni wazuri sana tatizo ni upangaji wa kikosi pamoja na kuacha vijana wengine kwa sababu haya mashindano ni wachezaji ishirini tu ndo walikuwa wanatakiwa.
Kuna watu huwa mnatia sana hasira khs Avatar niliiweka ila nimeitoa na sishindwi kuiweka, mi nadhani leo umekorofishwa na pengine wenzio wamekulia mke wako
Maneno machafu si jadi yangu, asante kwa yote, bahati nzuri sina mke hivyo sina haja ya kuwa na hasira na wewe kwa kauli hiyo, ninachofanya ni kukupuuza tu Mkuu.