Mimi sioni chochote wanachocheza humo ndani,yaani hii ndo team iliyo na kila kitu,uwanja mzuri wa kufanyia mazoezi,Gym iliyosheheni vifaa vya kisasa,na vifaa vingine vya kisasa vya kufanyia mazoezi,imekaa kambini muda mrefu sana,imeshiriki kombe la Urafiki hadi fainali lkn bado inacheza kama team iliyookotezwa