mndwadage JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 344 Reaction score 67 Jul 28, 2012 #2,101 dk. 75 ubao unasomeka vilevile.
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,102 Katavi said: Lakini Ngasa mbona kashangiliwa sana na vijana wa jangwani? Click to expand... wanajua atawaliza wakati wowote
Katavi said: Lakini Ngasa mbona kashangiliwa sana na vijana wa jangwani? Click to expand... wanajua atawaliza wakati wowote
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Jul 28, 2012 Thread starter #2,103 Rashid Gumbo 'Fundi' anatoka......Anaingia Juma Seif 'Kijiko'
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,572 Jul 28, 2012 #2,104 Naona bocco anatoa tu ulimi hoi, ha ha ha.
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,105 Skype said: nahene bhageshi wane toyombage shiswahili lolo ango? Click to expand... lugha hiyo unaweza kutamkaje goli?
Skype said: nahene bhageshi wane toyombage shiswahili lolo ango? Click to expand... lugha hiyo unaweza kutamkaje goli?
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Jul 28, 2012 #2,106 nyie mnaongea lugha gani humu ndani? kwa nn msiende chit chat? hili jukwaa sio lenu
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 28, 2012 #2,107 Ngassa na Boko si muda mrefu wanapachika bao hapa
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,108 Kurunzi said: Naona bocco anatoa tu ulimi hoi, ha ha ha. Click to expand... hahaha ndo mpira huwa kunasiku unakataa ulimi unakuwa nje
Kurunzi said: Naona bocco anatoa tu ulimi hoi, ha ha ha. Click to expand... hahaha ndo mpira huwa kunasiku unakataa ulimi unakuwa nje
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,109 odhiambo jamani jamani goli umetukosesha
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 28, 2012 #2,110 bemg said: lugha hiyo unaweza kutamkaje goli? Click to expand... Tunatamka "igoli"
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 28, 2012 #2,111 rmashauri said: Ndibona aming'wana basaya iki tubaleke lulu. Click to expand... Mnatuchanganya na hizi lugha zenu, mnataka kuwanyima nini watanzania????
rmashauri said: Ndibona aming'wana basaya iki tubaleke lulu. Click to expand... Mnatuchanganya na hizi lugha zenu, mnataka kuwanyima nini watanzania????
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,112 dk10 zimaebaki
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 28, 2012 #2,113 huyu kipa leo naona kachoka kichapo cha azam naona kila mara analala tu..
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 28, 2012 #2,114 Mtangazaji anasema Azam ndo wanacheza zaidi kwa sasa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 28, 2012 #2,115 bemg said: nilitegemea boko awalize ndani ya dk20 tu ya kipindi cha kwanza.offside Ynaga Click to expand... Huyu kweli kiboko..
bemg said: nilitegemea boko awalize ndani ya dk20 tu ya kipindi cha kwanza.offside Ynaga Click to expand... Huyu kweli kiboko..
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 28, 2012 #2,116 PrN-kazi said: Mnatuchanganya na hizi lugha zenu, mnataka kuwanyima nini watanzania???? Click to expand... Tumeshaacha jamani, lol!
PrN-kazi said: Mnatuchanganya na hizi lugha zenu, mnataka kuwanyima nini watanzania???? Click to expand... Tumeshaacha jamani, lol!
Lonestriker JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 640 Reaction score 241 Jul 28, 2012 #2,117 Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,118 rmashauri said: Tunatamka "igoli" Click to expand... hahahaha nimegoogle ikaleta maana yake hii '' iGoli ilidolobha elikhulu eGauteng. Ilidolobha likhulu kunayo yonke laseNingizimu Afrika sijui lugha gani vile
rmashauri said: Tunatamka "igoli" Click to expand... hahahaha nimegoogle ikaleta maana yake hii '' iGoli ilidolobha elikhulu eGauteng. Ilidolobha likhulu kunayo yonke laseNingizimu Afrika sijui lugha gani vile
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 28, 2012 #2,119 Lonestriker said: Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani... Click to expand... wampe kadi ya njano
Lonestriker said: Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani... Click to expand... wampe kadi ya njano
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 462 Jul 28, 2012 #2,120 Dakika saba tu zimebaki, Azam wanahitaji muujiza sasa, du!