CECAFA Challenge Cup

Mpira umekwisha Tanzania 2 Rwanda 0 , timu yetu inaongoza kundi lao A hadi baada ya mpira kati ya Uganda na timu nyingine
 
nasikia alimpenda sana Mwameja, akwa anaokota mpira nyuma yake kwa muda mrefu, hadi alipoambiwa awe anajifunza kudaka. Akalelewa na Simba sana. Ghafla ikagundulika kuwa ni chipukizi mzuri kupitia Manyema...and there he is.
 
Chuji kaumizwa na kutolewa nje
Pole sana mpiganaji wetu popote ulipo,nafikiri lengo lilikuwa kukupunguza kasi yako kimchezo usijali;hata hivyo umeiweka timu mahali pazuri hadi hivi sasa.Nauheshimu mchango wako kila lakheri katika kazi yako.
 
Mpira umekwisha Tanzania 2 Rwanda 0 , timu yetu inaongoza kundi lao A hadi baada ya mpira kati ya Uganda na timu nyingine

Rwanda this time is very poor! Siyo ile tuliyoizoea/iliyoenda hadi Cup of Nations
 
Nani alisema kuwa wachagga hawachezi mpira wakati golikipa wa Tanzania leo ni Deo Mushi?

Wako wengi tu waliokwisah cheza na wangali wancheza japo sio maarufu kihivyo. Deo keep it up..
 
so Rwanda is very poor kwa sababu tumewafunga, hapo una bias, kwa nini usiseme "this time Tanzania is very good tumewafunga Rwanda iliyoenda hadi cup of nations!'
 
Hongera Kili Boyz. Ila "Chuji"majani yanapelek vibaya, Juzi baada y kuifunga Zanzibar Karume Boys akasema "wale ilikuwa lazima tuwafunge maana hata kwenye muungano Bara ndio kidume" Wamemmaindi na wanasema lazima wamnyweshe chai malindi.
 
Ni kweli Rwanda is so weak this yr walipigwa 4-0 na Uganda!

kama Rwanda ndio weak kwakuwa walipigwa 4-0 na Uganda, na hao hao Rwanda waliwachapa Somalia 3-0, na hao Somalia waliwapiga Tanzania 1-0, je ni timu ipi itakuwa weak kati ya Rwanda, Tanzania na Somalia????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom