CECAFA Challenge Cup

kama Rwanda ndio weak kwakuwa walipigwa 4-0 na Uganda, na hao hao Rwanda waliwachapa Somalia 3-0, na hao Somalia waliwapiga Tanzania 1-0, je ni timu ipi itakuwa weak kati ya Rwanda, Tanzania na Somalia????

stong team is Uganda, Rwanda Somalia thn Tz
 
Tusiiharibu hii thred wandugu!

Anzisheni thred ingine ya-

(((((((((((Tanzania football = Yanga (Kikwete -Yanga, Karume- Yanga, Tenga - Yanga)))))))))
 
umesahau senegal walipowahaibisha france.Ebwana nashukuru sana wakuu kwa kutuhabarisha sisi tusiokuwapo karibu.Sasa afadhari m2 utatulia,maana ile siku tumefungwa na somalia,ile kufungua tu JF,nikakutana na Somalia 1 Tanzania 0.Hamu kwisha.
 
Yes sir ulikuwa hujui

1966 West Ham(i mean England) walichukua world cup kwa kuwafunga W.Germany 4-2, hat-trick ya Geoff Hurst (w.ham) n captain by tht time Bobby Moore(w.ham) akakabidhiwa kombe.
 
Tafadhali tupe matokeo ya hii mechi bila shaka kwa sasa mpira umekwisha!!!!!
 
Asante kwa majibu lakini mimi nilitaka matokeo tu ya Kili Stars sio unazi wa Simba na Yanga!!!!!
 
Nani alisema kuwa wachagga hawachezi mpira wakati golikipa wa Tanzania leo ni Deo Mushi?
...Kwani ukiitwa Mushi lazima uwe mchaga?? Niko Nachingwea kuna Mmakuwa hapa anaitwa Alphonce Mushi...inakuwaje???
 
lol wee jamaa mikosi......anyway Yanga imeshinda 2-0 dhidi ya Rwanda

mkuu inaonekana wewe ni mwananchi!!!!
Je, wewe ndiye uliandika makala kwenye gazeti moja siku staz inakipiga na wanubi(sudan) kuwa Yanga kucheza na Sudan????
maana hiyo post yako kwamba Yanga 2-0 Rwanda, inashabihiana sana.Mkuu kichwa yako inachemka sana. Nasikia mmeshamchoka Kondic mnataka kumtimua ili muweze kumleta Milovan Cirkovic aliyeitupia virago simba, nyie hamuogopi kumwagwa tena kama alivyowafanya Micho?halafu inaonekana mnawahusudu sana hawa waserbia, wana ladha gani?
 
Asante kwa majibu lakini mimi nilitaka matokeo tu ya Kili Stars sio unazi wa Simba na Yanga!!!!!
So umepata jibu kuwa Yanga kamshinda Rwanda 2-0?

mkuu inaonekana wewe ni mwananchi!!!!
Je, wewe ndiye uliandika makala kwenye gazeti moja siku staz inakipiga na wanubi(sudan) kuwa Yanga kucheza na Sudan????
maana hiyo post yako kwamba Yanga 2-0 Rwanda, inashabihiana sana.Mkuu kichwa yako inachemka sana. Nasikia mmeshamchoka Kondic mnataka kumtimua ili muweze kumleta Milovan Cirkovic aliyeitupia virago simba, nyie hamuogopi kumwagwa tena kama alivyowafanya Micho?halafu inaonekana mnawahusudu sana hawa waserbia, wana ladha gani?
Mkuu taifa stars ndio Yanga period
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom