Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!
Hivi kwanini tunaadhimisha siku ya uhuru wa nchi ambayo haipo!!!
Uliwaona wale wazee TBC1 asubuhi daaah! kuna wakati mimi huwa najiuliza hivi watu walio ipigiga kura CCM wako wapi mbona kila ninapokuta kikundi cha watu wakijadiliana juu ya uchanguzi au mwenendo wa Serikali ya CCM wana ilaani tu...
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!
Usidangaye watu. Hujawahi kuwa na imani au kuwa mpenzi wa CHADEMA. Tena nilishakushauri ubadilishe avatar yako. Haiendani kabisa na hero wangu.KUSUSIA SHEREHE ZA UHURU NI UTOTO......... karibia kila tendo wanalofanya linazidi punguza imani ya wananchi(HASA MIMI) NADIRIKI KUSEMA MSHAURI WA CHADEMA ANAWAPOTEZA
binafsi nimetazama itv na tbc1 nichoona ni viongozi wa ccm na uongozi wa juu wa cuf akiwemo maalim seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa cdm yaani mbowe, arfi, slaa, lissu, zitto wala mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?
You nailed it!!Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!
Ukiwa na hasira usiandike mpaka zipungue! Wakati mwingine utaandika leseni ya wewe kupata :ban:Hamjui musherehekee uhuru wa nchi gani? Kamuulizeni muungu wenu nyerere maana ndie alieiua tanganyika kwa kupenda kwake madaraka. Ukiniuliza mie nitakwambia sherehekea uhuru wa nchi ya tanzania bara. Pumbav