CDM na CUF nani mvuruga amani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM na CUF nani mvuruga amani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kyemo, Mar 24, 2011.

 1. kyemo

  kyemo Senior Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakambuka mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF walikuwa wanaongoza upinzani Tanzania,walikuwa wakiandaa maandamano na watu walipigwa mabomu na wengine kupoteza maisha ,lakini leo hii wanakataa maandamano ya amani ya CHADEMA ambapo hamna hata mtu aliyejikwaa wakiita ni uvurugaji wa amani,Je kipindi hicho walikuwa wakistawisha amani?
  Pia naomba mnisaidie kuna baadhi ya maneno ambayo ya uchochezi yaliyokuwa yakitumiwa kuhamasisha mimi nazoona vurugu, kama vile:
  1.“JINO KWA JINO”
  2."NGANGARI"
  3...................
  Naomba mtukumbushe km mnayakumbuka maneno mengine yaliyotumiwa kipindi kile na tuyaoanishe na ya CDM ambayo mimi sijayasikia bado (labda nitakuwa sio mfuatiliaji mzuri kwa sasa) ili tujiridhishe, je ni nani mvurugaji amani kati ya CDM na CUF
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HAMAD RASHID-GOGORO, CUF-MASLAHI NA CCM-UFISADI MJUE FIKA USALAMA WA NCHI YETU UNAYUMBISHWA NA 'MUAFAKA WA MASLAHI BINAFSI' YA VYEO NA KUJIUNGA KULE NA NGURUWE KULA MABUA NA UFISADI
  ULIOKITHIRI NCHINI


  Jamani kuna uwezekano Wa-Tanzania tukawa na tofauti nyingi tu nchini zikiwemo zile za kitamaduni, kiimani, kijinsia na kadhalika lakini matatizo yanayotuhatarishia amani nchini, Wakristo kwa Waislmu na kote Bara na Visiwani ni zile zile!!

  Nasema matatizo ya kusisitizwa tu AMANI na kufichwa kule kwa HAKI kwa raia ni chanzo cha matatizo kibao yanayotukaba kila siku nchini kama vile: (1) UFISADI uliokithiri ndani ya serikali ya CCM yatuathiri sote, (2) Muafaka wa CUF kujiunga na CCM kula mabua kwa pamoja na kuwaacha wananchi solemba kwenye umasikini wa kutupwa ni letu sote.

  Kama haitoshi, pia (3) Utaratibu wa Serikali ya Muungano usiona tija, na fursa sawa wa moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida, (4) ukosefu wa ajira, (5) elimu duni, (6) Maisha kupanda gharama kila kukicha ni letu sote hivyo kwa hali ya kawaida kabisa Mtanzania hahitaji KAMPENI ZA KUTIANA HOFU pale tunapojiunga kama taifa kujikomboa kwa kudai haki zaidi na Katiba Mpya nchini!!!

  ... hatuwe kujua vizuri; wenzetu wa CCM na CUF waulizwe vizuri juu ya hilo jambo wanaloliona peke yao tu hapa nchini kuhusu usalama kutetereshwa ambalo sisi wengine hatulion.

  Lakini kama kudai HAKI SAWA NA MASLAHI KWA UMMA wa Tanzania ndicho hasa kile kinachowakosesha amani wale MAFISADI walioko serikalini na kuitwa KUHATARISHA USALAMA WA NCHI na basi CHADEMA kazeni mwendo mdundo kwa sana tu.

  Wa-Tanzania tunaakili sana kote Bara na Visiwani na pia tunafahamu fika kwamba wale wanaoingia muafakaka na serikali ya CCM gizani kwa maslahi binafsi ya kupata vyeo, mijumba, na mashamba ndio hasa wanaoHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU.

  Ndugu zetu akina Hamad Rashid, CUF-Maslahi na CCM-Ufisadi, acheni mara moja kuchezea akili za Mtanzania wa leo kote Bara na Visiwani tunasema kwamba Hatudanganyiki wala Hatugawanyiki kwenye Kutafuta Maslahi yetu kama Umma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 3. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wahi haraka sana Loliondo kwa babu ukapate Kikombe.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Wewe umepata hicho kikombe!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani kabla ya kuangalia nani kati ya cuf na cdm ni mvuruga amani, pia tuangalie na utawala uliokuwepo kipindi kile na huu wa sasa. Maana na watawala nao wanachangia hivi vyama kuvuruga amani iliyopo.
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Taqbiiiiiiir.......(I saw and hear this with my own eyes and hears kwenye camapign za mwaka 2000)
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Maswahiba wao wa sasa CCM walikuwa wakiwajibu NGUNGULI.
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Chi Chi eM B.
   
 9. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kati ya cuf na cdm; wazuruga amani kwa mujibu wa hoja zako ulizozilaza hapa jamvini ni cuf!!!
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mimi nilimsikia kiongozi wa CDM kwenye mkutano wa hadhara wa Arusha akisema "nchi haitatawalika"
   
 11. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 18 kunahabari inasema "Hamad Rashid: Chadema ni chaka la wanaokimbia CCM"
   
 12. m

  mndeme JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nenda shule kwanza
   
 13. kyemo

  kyemo Senior Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shule inahusiana na nn hapo???????
  pumba tupu
   
 14. m

  marmoboy Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yan watanzania mna visaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, haya sasa lini CUF walilpinga maandamano ya CDM? Mbona hata CDM walipopigwa arusha niliwasikia CUF wakitoa tamko zito la kuilaumu serikali na CCM na hadi wakasema IGP anatumika kukandamiza demo ndani ya tanzania?
  ushabikiiii tu humuuuu lakini wenye akili tunaona na tunajua na hatupaswi kufundishwa.
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama ni hivyo mwambie na Rashid Hamad akimbilie huko mapema.
  Post namba moja ni ya kweli. Vurugu ni sehemu ya maisha ya CUF! Nilikuwa ndani ya CUF na tulifundishwa kufanya vurugu na hata tulifundishwa karate ili tupambane na Polisi! Sasa mimi siko huko tena na amani ni agenda yangu kuu. Tena amani ya kweli kwa watanzania walio katika amani ya uchumi na afya.
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  utajiju! We mwnyewe una visaaaaaaaaa. Wanavyotangza Cdm wanavrga aman ya nch c kpnga maandmano hukuuuu! Acha kjfnya huna macho na mackio kla kkcha lipumba na hamad hawaish kuisemea mabaya Cdm. Km co unafk ni nn? Kukosa uongoz wa kmb ya upnzan bungen wamechanganykiwa utafkr mwnamke alyefmaniwa! Waiache Cdm waongelee ya chama chao!
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mwambie, mwambie huyo!
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  KAMA UNAJUWA KISWAHILI VIZURI NENO NCHI KUTOKUTAWALIKA MAANA YAKE NINI? HILO NENO LIMETUMIWA NA CUF MWAKA 2000 WAKIWA WANSEMA KUWA UCHAGUZI USIPORUDIWA ZANZIBAR ZANZIBAR HAITOTAWALIKA NA DUNI ALIULIZWA WATAFANYA NINI WAKASEMA HIYO NI SIRI YA CHAMA,SLAA MWAKA HUU ALISEMA WAKATI WA KONGAMANO LA WANFUNZI WA VYUO VIKUU KAMA HUU MFUMUKO WA BEI,MAISHA MAGUMU, MGAO WA UMEME NA KAULI ZA KUSEMA KUWA NCHINI KUNA UDINI ALISEMA KAMA KAULI NDIYO HIZO NCHI HII HAITATAWALIKA , MAANA YAKE NI TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA KUTOTAWALIKA YA SLAA NA KUTOTAWALIKA ALIYOITOA hAJI DUNI MWAKA 2000 KAULI ILIYOSABABISHA AWEKWE NDANI BAADA YA MAANDAMANO YALIYOKUWA YA UVUNJIVU WA AMANI, LIPUMBA HTA HAKUANDAMANA WAKATI HUO KINARA WA PROPAGANDA WA CUF ALIKUWA NI TAMBWE HIZA, NENO NGANGARI,TAKBIRIII, NA JINO KWA JINO , MAANDAMANO YA KANDA YA ZIWA HATA MENDE HAKUFA, HATA SINDANO YA MTU ILIYOKUWA INAANGUKA TULIMPATIA
   
 19. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,293
  Trophy Points: 280
  As the same! Hakuna tofauti hata chembe,... unapozisikia kauli kama "kama Libya!, Kama Egypt! Kama Tunisia!"Je kule Arusha wale walipakwa mafuta? Hivi Watanzania mbona tunapopenda vitu tunakuwa wasahaulifu? kama unaweza kukumbuka mambo ya mwongo uliopita unashindwaje kujua mambo ya mwongo uliomo? Basi hata kama tunapenda kitu au kutaka kukipamba tuwe wakweli pia kwa mustakabali wa Tanzania... Historia itatuhukumu.
   
Loading...