CDM kususa kwenu bado hakujaisha?

Huu msiba usiwe kisingizio , na nyingine zilizo pita mlifiwa na nani ? hebu acheni kutufanya sie watoto wadogo bana
Mitanzania bwana.....they spend most of precious working time to invite learders from all over the world just to attend ceremonies eg Muungano, Uhuru and the poor, peasants and workers pay for this lessuseful ceremonies. On the other hand, the majority Tanzanians owner of this country are broiling in port of poverty.

Namna hii ya ufanyaji sherehe hizi haikubaliki, lazima hali ibadilike or they should be burned. Kwani Si Rais wako Mchekacheka ovyo si alikuwepo?
 
You see, stop hallucinating bana... Since when mie ni insane people of Juda??

Mie ni mtanzania na hatuna Yuda kwenye ukoo wetu... BTW, yaani wewe unadhani kila anayekujibu ni chadema siyo??

Hebu kunywa dawa aisee usije ukaishia kuchinja wenzako sasa

Meza dawa dogo

Kwani wanao jibu ambao halmashauri ya vichwa vyao haifanyi kazi vizuri alwayz huwa ni CDM
 
Sioni kama maadhimisho haya yanasaidia kitu chochote zaidi ya kufanya ufahari wa matumizi ambao nchi iliyolemewa na umaskini kama yetu imeendelea kuuenzi bila tafakuri makini. Kwa nini fedha hiyo isitumike kwa ajili ya kufanya mambo ya maendeleo yatakayoacha alama ya kudumu kwamba serikari ilifanya hili wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu fulani.
 
Karibu viongozi wote wa vyama vya siasa walikuwepo na wengine walituma wawakilishi wao, kasoro CDM tu. Sherehe za kitaifa lazima zienziwe, huko ndiko kulitambulisha taifa na watu wake, na anae dharau sherehe za taifa lake basi huyo ana fikra za kitumwa. Msisingizie msiba hata mlipokuwa hamna msiba huwa mnasusa tu

Sherehe hizi hazina maana yoyote kama hali ya maisha ya mtz bado ni tete.Ngoja muungano utakapovunjika tuone mtakuwa mkisherehekea nini.Afadhali hao wanaoonyesha machungu ya kutounga mkono mambo kama haya.
 
Kumbe mlikuwa hamjui ya kuwa kinachowasumbua Chadema nu ugeni wao kwenye ulingo wa siasa . Ni lazima wawe watu wa kususia mabao muhimu ya maendeleo kwa maana nia na madhumuni yao si kuwaleta wananchi maendleleo zaidi ya kujunufaisha wao.
 
"KUSUSIA MAMBO MUHIMU YA MAENDELEO!!!" Hii ndiyo akili ya wanafiki, kwamba kwa kuhudhuria sherehe za jana ni maendeleo! Au ndo mazoea ya ngoma,mdundiko, nk??? Maendeleo yanapatikana kwa kuhudhuria kumbukumbu ya muungano unaolaaniwa na wazanzibar na waTanganyika?!
 
Kwa hiyo wataka kutuambia Nyerere na Karume hawana akili , ww ndio mwenye akili sana ?
 
"KUSUSIA MAMBO MUHIMU YA MAENDELEO!!!" Hii ndiyo akili ya wanafiki, kwamba kwa kuhudhuria sherehe za jana ni maendeleo! Au ndo mazoea ya ngoma,mdundiko, nk??? Maendeleo yanapatikana kwa kuhudhuria kumbukumbu ya muungano unaolaaniwa na wazanzibar na waTanganyika?!

Tusibishane sana kuhusu hili jambo, ni la muhimu kwa kila nchi kuadhimisha sikukuu zake duniani kote. Hoja ya kusema sie ni maskini na hatustahili haina mashiko ni bora mkaiacha tu
 
Kinachowashangaza watanzania na wenye kuitakia mema nchi hii ( sio CDM ) ni pale ambapo CDM kususia sherehe zote za kitaifa japokuwa hupewa mualiko rasmi. Hivi hizi sherehe zote za kitaifa hazina maana kwenu ? je mngechukua nchi hii na kushika dola mngezifuta ? . Hili kwa CDM halionyeshi picha nzuri kabisa mbele ya watanzania, na wengi wameisha anza kuwadharau na kuwaona kuwa hamkuwa na nia njema na hamna nia njema na nchi zaidi ya maslahi yenu binafsi. Na nukuu maneno ya Mh. Shibuda , mbunge wa CDM Maswa wakati wa kikao cha wabunge wa CDM kilichofanyika Bagamoyo kuwa ‘…………hiki si chama cha kisiasa bali ni kundi la wahuni wachache wenye uroho wa madaraka’ mwisho wa kunukuu. Tafakari zingatia

umeshawahi kujiuliza wakifika hapo wanapata nini kwanza ..hivi amtumiii akili ukiwemo na wewe wakati mnaungua jua baada ya muda unahangaika na usafiri na jua wakati wenzako wanaelekea ikulu mpaka jion tena wakiwa na vimwana vyao na wanaoitaj wanaletewa freshpoa ..we unataka wakafanye nini???

CCM MKUBWA!!!
 
Mambo yepi hayo?

Hili la Muungano ni jambo lao. Na Mwalimu aliisha sema kwenye moja ya hotuba zake kuwa ukiona chama au watu wanachokonoa chonoa mambo ya muungano uvunjike hivi, sijui serikali 3 , sijui udini udini hivi basi ujue watu hao sio wema na taifa hili, na wasi wasi na ww ni mmoja wao ndugu
 
Aiseee! Pole sana...akili za kuambiwa changanya na zako basi....
 
Wewe ni mtanzania kweli usie jua sherehe za kitaifa ? na wasiwasi na uraia wako, nenda kasome kalenda zimeandikwa humo

una uhakika mwaliko ulifika?je unajua hudhuru iliyotolewa?je Pinda(PM),na Mkapa ambao hawakubali zanzibar kama nchi na kweli huwa hawaudhurii shehere pilau kama izo nao ni cdm? Au kila anayekataa ujinga ataitwa cdm? We unakuja na kijikauli cha Shibuda kwani bado mwenzenu?si alishawakimbia mafisadi ili mbaki mafisad peke yenu?kwa nini umnukuu usiyemwamini? Ni sawa na Makamba ambaye daima ananukuu kitabu kitakatifu Biblia. Nawe nakusome Q'uaran 46:9 uelimike.
 
umeshawahi kujiuliza wakifika hapo wanapata nini kwanza ..hivi amtumiii akili ukiwemo na wewe wakati mnaungua jua baada ya muda unahangaika na usafiri na jua wakati wenzako wanaelekea ikulu mpaka jion tena wakiwa na vimwana vyao na wanaoitaj wanaletewa freshpoa ..we unataka wakafanye nini???

CCM MKUBWA!!!

Kwani CDM hayo mambo ya vimwana na starehe mbali mbali hawayafanyi ? fika dodoma wakati wa bunge uone jinsi wabunge wa CDM wanavyo fanya ufuska ! utatamani kulia wanapo jipamba huku nje ndio wapambanaji
 
Crap juu ya Pumba!
 
una uhakika mwaliko ulifika?je unajua hudhuru iliyotolewa?je Pinda(PM),na Mkapa ambao hawakubali zanzibar kama nchi na kweli huwa hawaudhurii shehere pilau kama izo nao ni cdm? Au kila anayekataa ujinga ataitwa cdm? We unakuja na kijikauli cha Shibuda kwani bado mwenzenu?si alishawakimbia mafisadi ili mbaki mafisad peke yenu?kwa nini umnukuu usiyemwamini? Ni sawa na Makamba ambaye daima ananukuu kitabu kitakatifu Biblia. Nawe nakusome Q'uaran 46:9 uelimike.

Usibishe ww , CDM mialiko wanapewa na hawahudhurii ila wakisikia kuna vinywaji na nyama mbele mbele wanakimbilia, si unakumbuka ule wa bunge. Walisusia hotuba, kwenye mnusu tukawaona front line ! kweli wajinga kama ww ni wali wao
 
Back
Top Bottom